Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PANONE FC ILIVYOPOKEA UGENI WA REAL MADRID KILIMANJARO

Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Dk Fenera Mkangara akiongoza ugeni toka klabu ya Real Madrid ulipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA.)
Baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa KIA .

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MACHAVA FC KUTUMIA UZI MPYA TOKA MEGATRADE KATIKA MECHI YAO DHIDI YA PANONE FC ITAKAYOSHUHUDIWA NA MAGWIJI WA REAL MADRID UWANJA WA USHIRIKA MOSHI

Meneja Mauzo wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini Arusha ,Edmund Rutaraka (kushoto)akikabidhi msaada wa jezi kwa Makamu mwenyekiti wa timu ya soka ya Machava fc,Abuu Masudi.Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha timu ya Machava fc ya mkoani Kilimanjaro wakionesha uzi mpya waliopewa na kampuni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Panone fc uliondaliwa mahususi kwa ajili ya Magwiji wa soka wa klabu ya Real Madrid utakaopigwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAKONGWE WA REAL MADRID WAKWEA MLIMA KILIMANJARO

Wachezaji wakongwe wa Klabu ya Real Madrid wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa TANAPA mara baada ya kumaliza zoezi la matembezi mafupi ya kupanda Mlima Kilimanjaro. Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dk. Fenela Mukangara akitoa cheti cha ushiriki kwa mchezaji Ruben De La Red wa Klabu ya Real Madrid mara baada ya kumaliza zoezi la matembezi mafupi ya kupanda Mlima Kilimanjaro. Wakongwe wa Real Madrid wakiwa katikati ya msitu wa Mlima Kilimanjaro.
 Eneo la...

 

5 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa bao moja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Panone FC yaongoza ligi Kilimanjaro

TIMU ngeni katika Ligi Daraja la Tatu ngazi ya Mkoa wa Kilimanjaro, Panone FC, hadi sasa inaongoza ligi hiyo ikiwa imejikusanyia pointi sita baada ya kushuka dimbani mara mbili. Panone...

 

10 years ago

Africanjam.Com

THIS IS WHAT ATLETICO MADRID SAYS ABOUT DAVID DE GEA JOINING REAL MADRID


De Gea joined United from Atletico, where he started his career, for £18.9million in 2011. A year earlier he was a crucial figure as Atleti won the Europa League.Tomas Ujfalusi was part of De Gea's defence that season and popular with the club's fans after spending three years in the Spanish capital; De Gea was equally liked, but Ujfalusi believes he will throw that away if he signs for Real because Atletico's fans would feel betrayed.
De Gea (left) was a team-mate of Tomas Ujfalusi (back...

 

9 years ago

MillardAyo

Headlines za Jose Mourinho kurudi Real Madrid zilipomfikia Rais wa Madrid Fiorentino Perez alijibu hivi ….

Najua bado headlines za Jose Mourinho kuwa ataenda wapi au kuifundisha klabu gani bado zinazidi kushika kasi, je ataenda kuifundisha klabu ya Manchester United au Real Madrid kama inavyoripotiwa au klabu gani. Ukiachana na stori za kujiunga na Man United, mwezi October Rais wa zamani wa Real Madrid Ramon Calderon alimkaribisha kwa mara ya pili Mourinho kujiunga […]

The post Headlines za Jose Mourinho kurudi Real Madrid zilipomfikia Rais wa Madrid Fiorentino Perez alijibu hivi …. appeared...

 

10 years ago

GPL

REAL MADRID YAFUNGWA NA ATLETICO MADRID BAO 2-0

Wachezaji wa timu ya Atletico Madrid wakishangilia dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya Raul Garcia kushinda bao la kwanza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme 'Copa del Rey' Uwanja wa Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo. Beki wa Atletico Madrid (katikati) akipiga kichwa mpira.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani