Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PANONE FC YA MKOANI KILIMANJARO YATINGA LIGI DARAJA LA KWANZA


Kikosi cha timu ya soka ya Panone fc ya Mkoani Kilimanjaro. Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PANONE FC YA KILIMANJARO ILIVYOTANGAZWA BINGWA WA MKOA LIGI DARAJA LA TATU

Wachezaji wa timu ya Panone FC ya mkoani Kilimanjaro wakipasha misuli joto kabla ya mchezo wao wa kukamilisha ratiba dhidi ya waliokuwa mabingwa wa mkoa watetezi timu ya Machava Fc. Wachezaji wa timu za Panone fc na Machava fc wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kukamilisha ratiba. Wachezaji wa Panone fc wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mchezo. Wachezaji wa timu ya Machava fc wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mchezo. Waaamuzi wa mchezo huo tayari kwa kuanza...

 

10 years ago

Michuzi

MWadui FC na Panone FC zatoka sare 1-1 mtanange wa ligi daraja la kwanza mjini moshi

Wachezaji wa timu ya Mwadui FC, wakishangilia goli lililofungwa na Bakari Kigodeko, katika mchezo wa ligi daraja la kwanza dhidi ya Panone FC, uliofanyika kwenye Dimba la Ushirika, mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1.Sehemu ya mashabiki waliojitokeza kwenye dimba la Ushirika, wakifuatilia mchezo kati ya Mwadui na Panone.Mashabiki wa Panone wakishangilia goli la kusawazisha lililopatikana katika dakika ya 16 ya kipindi cha kwanza, likifungwa na Tony...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Panone FC yaongoza ligi Kilimanjaro

TIMU ngeni katika Ligi Daraja la Tatu ngazi ya Mkoa wa Kilimanjaro, Panone FC, hadi sasa inaongoza ligi hiyo ikiwa imejikusanyia pointi sita baada ya kushuka dimbani mara mbili. Panone...

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

10 years ago

Mwananchi

‘First 11 ya Simba’ Ligi Daraja la Kwanza

Ligi Kuu Bara na Ligi Daraja la Kwanza zimesimama ili kupisha mashindano ya Chalenji, mashindano ya Uhai na dirisha dogo la usajili ambalo litafungwa Desemba 15.

 

9 years ago

Habarileo

Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga

LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.

 

10 years ago

Mwananchi

Vurugu Ligi Daraja la Kwanza zikomeshwe

Ligi Daraja la Kwanza msimu huu imetawaliwa na vurugu ambazo hazionekani kukoma wala hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa na wahusika kukomesha vurugu hizo.

 

9 years ago

Habarileo

Ligi Daraja la Kwanza kuendelea kesho

VINARA wa kundi A kwenye ligi daraja la kwanza, Ashanti United watashuka uwanjani kesho kuikabili Polisi Dodoma kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Kimondo, Villa hapatoshi ligi daraja la kwanza

Pazia la Ligi Daraja la Kwanza (FDL), linafunguliwa rasmi leo kwenye viwanja tisa tofauti katika miji ya Moshi, Arusha, Musoma, Mwanza, Geita, Mbozi, Songea, Mufindi na Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani