Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga
LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV19 Aug
IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...
9 years ago
Habarileo03 Jan
Ashanti yazidi kung’ara daraja la kwanza
TIMU ya soka ya Ashanti United jana iliifanyia kitu mbaya Polisi Dodoma baada ya kuchapa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Daraja la Kwanza iliyochezwa kwenye Uwanja wa Karume Ilala Dar es Salaam. Dalili za Ashanti kushinda zilionekana tangu mwanzo kwani ilitawala mchezo karibu maeneo yote.
9 years ago
Habarileo14 Dec
Madini yazidi kutesa ligi daraja la pili Arusha
TIMU ya soka ya Madini ya Arusha juzi iliendelea kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani wa Mwalimu Nyerere uliopo wilayani Mbulu mkoani Manyara baada ya kuifunga Pamba ya Mwanza magoli 2-0 katika mchezo mkali wa ligi daraja la pili ngazi ya taifa.
10 years ago
Mwananchi08 Dec
‘First 11 ya Simba’ Ligi Daraja la Kwanza
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Vurugu Ligi Daraja la Kwanza zikomeshwe
9 years ago
Habarileo01 Jan
Ligi Daraja la Kwanza kuendelea kesho
VINARA wa kundi A kwenye ligi daraja la kwanza, Ashanti United watashuka uwanjani kesho kuikabili Polisi Dodoma kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Mapato Ligi Daraja la Kwanza yazua utata
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Kimondo, Villa hapatoshi ligi daraja la kwanza
9 years ago
Habarileo16 Oct
Ligi Daraja la Kwanza kunguruma wikiendi hii
LIGI Daraja la Kwanza chini (FDL) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa katika viwanja mbalimbali kutoka katika makundi yote matatu ya A, B, na C.