Kocha wa kagera Suger akiri timu haiko sawa.
Baada ya kufungwa bao mbili kwa sifuri na mabingwa watetezi Timu ya Yanga,Kocha wa Kagera Sugar,Mohamed Richard maarufu kwa jina la Adolph,amesema timu yake ina matatizo.
Kocha huyo aliyeiongoza kwa michezo mitatu,tangu kuondoka kwa Kocha aliyekuwa akiifundisha,Mbwana Makata,amesema kuna kukosa umakini katika timu mambo ambayo atayarekebisha.
Kagera ilipoteza mchezo wake na Yanga ambapo ilichapwa magoli mawili kwa bila mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Mwinyi mjini Tabora ambapo goli la...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/0JfFmbbSYMg/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Kocha Malawi akiri woga chanzo cha kipigo
9 years ago
StarTV08 Oct
Kocha Juma Mwambusi akiri ligi kuu ngumu.
Matokeo mabaya kwa timu ya Mbeya City yamendelea kumtia unyonge kocha wa timu hiyo Juma Mwambusi na kueleza bayana ligi kuu ya Vodacom ni ngumu msimu huu wakati kocha msaidizi wa Stand United Athumani Bilal akifurahia kwa timu yake kufikisha pointi 9.
Makocha hao wametoa kauli hizo baada ya mchezo wa timu za Stand United na Mbeya City uliofanyika Jumapili katika dimba la CMM Kambarage mjini Shinyanga na wenyeji Stand waliibuka na ushindi wa bao 1 – 0.
Mchezo ulikuwa muhimu kwa...
9 years ago
StarTV02 Jan
Kocha Matola akiri kuwepo na ushindani. ligi dalaja la kwanza Â
Wakati ligi soka daraja la kwanza Taifa itaendelea Jumamosi hii kwenye miji mbalimbali,kocha mkuu wa timu ya Geita Gold Sports Suleiman Matola amekiri michuano hiyo si lele mama kutokana na kila timu kuonesha ushindani.
Mtaalamu huyo wa ufundi amebainisha pamoja na timu yake kuongoza kundi lao C wakiwa na pointi 17 lakini hawatofautiana sana kwa pointi na wapinzani wao kwenye kundi hilo.
Kocha Matola amesema michuano ya ligi daraja la kwanza ushindani wake umechochewa na timu nyingi...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Kocha Kagera Sugar ajipanga atoke vipi Ligi Kuu
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mohammed Adolph Richard, amesema atatumia mapumziko ya Ligi Kuu Tanzania Bara kujipanga na kuhakikisha anaondoa dosari zilizopo kwenye timu hiyo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcIezKNj4s2GwZTnTt68yQJJ*Uzkw-R0ib41qljU1RkC28nN30359nILZRpLgHB6fFl6205cS2lVmu4hg6FvPnoc/MILOVAN.jpg?width=650)
Milovan awa kocha wa timu ya taifa
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-b9ZAk_HHaPY/VYqYeIf4p-I/AAAAAAAHjWU/425CC5N9fxw/s72-c/Kocha%2BMkwasa%2B%2528kushoto%2529%2Bna%2Bmsaidizi%2Bwake%2BHemed%2BMorocco%2Bwakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari.jpg)
KOCHA MKWASA AITA 26 TIMU YA TAIFA STARS
![](http://1.bp.blogspot.com/-b9ZAk_HHaPY/VYqYeIf4p-I/AAAAAAAHjWU/425CC5N9fxw/s640/Kocha%2BMkwasa%2B%2528kushoto%2529%2Bna%2Bmsaidizi%2Bwake%2BHemed%2BMorocco%2Bwakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 104
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.
Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...