Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Kagera Sugar ajipanga atoke vipi Ligi Kuu

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mohammed Adolph Richard, amesema atatumia mapumziko ya Ligi Kuu Tanzania Bara kujipanga na kuhakikisha anaondoa dosari zilizopo kwenye timu hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kagera Sugar kuhamia Tabora mechi za Ligi Kuu

WAKATI pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016 likitarajiwa kufunguliwa Jumamosi, timu ya Kagera Sugar yenye makazi yake wilayani Missenyi itatumia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora kwa mechi zake za nyumbani badala ya Kaitaba katika Manispaa ya Bukoba.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : Kagera Sugar, ni wakati wa kusaka pepo au moto

Miezi 15 iliyopita, klabu ya Kagera Sugar yenye makazi yake katika mkoa anaotoka Rais wa TFF, Jamal Malinzi ilishika nafasi ya tano ikiwa na pointi 38. Pia,  miezi miwili iliyopita imemaliza nafasi ya sita ikiwa ikiwa na pointi 32.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yainyuka Kagera, yakaa kileleni Ligi Kuu

Azam imejikita kileleni mwa Ligi Kuu kwa kishindo baada ya kuichapa Kagera Sugar ya Bukoba kwa mabao 3-1 jana kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

 

11 years ago

Mwananchi

Sifa, Kagera Rangers, Bomu FC zimeibua nyota wengi Ligi Kuu

Timu za soka za Sifa United ya Manzese, Kagera Rangers ya Magomeni na Bomu FC ya Ilala ni timu kongwe jijini Dar es Salaam ambazo zimeshiriki ligi daraja la nne, tatu na sasa zimegota kwenye ligi daraja la pili.

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani