Wabunge 15 matatani
>Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaanika wabunge 15, waliobainika kuchukua posho za safari bila kusafiri huku wengine wakikatisha safari zao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLYANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
TBS matatani
SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limeingia kwenye kashfa ya kuvikingia kifua viwanda vinavyozalisha na kusambaza bidhaa zisizokidhi viwango, jambo ambalo linaweza kuhatarisha maisha ya wananchi wengi kutokana na baadhi ya...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Dk Mwaka matatani
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Zuma matatani
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Mkurugenzi Ilemela matatani
MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, Alhaji Zuberi Mbyana, anadaiwa kushindwa kuchukua hatua kwa watendaji wawili wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyakato ambao walitoroka na fedha za wananchi....
9 years ago
Habarileo18 Aug
Rose Muhando matatani
MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.
9 years ago
Habarileo20 Dec
Jerry Muro matatani
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) litamfikisha kwenye Kamati ya Maadili Mkuu wa Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa kauli za kibaguzi dhidi ya Mkuu wa Mawasiliano wa Simba, Haji Manara.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
RPC Tarime matatani
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime Rorya, Justus Kamugisha, anatumia madaraka yake vibaya kumnyanyasa askari wake, G. 2751 PC. Japhet Samwel, aliyeumia mkono akiwa kazini mgodini Nyamongo. Licha ya...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Badwel wa CCM matatani
KAMATI ya Uchunguzi iliyoundwa na Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, imemtia hatiani Mbunge wa Bahi, Omar Badwel (CCM), akidaiwa kutumia vibaya fedha za Mfuko wa Jimbo....