Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Funza zaidi ya mia moja wabainika puani

Funza zaidi ya mia moja wakutwa puani kwa mwanamume mmoja nchini Brasil.atibiwa na kupona .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Unyama zaidi wabainika Operesheni Tokomeza

>Unyama zaidi umebainika katika taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili baada ya kubainika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Francis Miti, kukiri kujihifadhi kwenye hoteli moja nje ya wilaya yake.

 

11 years ago

GPL

NI UGAIDI ASILIMIA MIA MOJA

Stori: Mwandishi Wetu Dar na Jaed Kimaro, Bukombe
TUKIO la kutisha la kushambuliwa kwa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, ambapo askari wawili walipoteza maisha na silaha kadhaa kuporwa, limeelezwa kuwa kwa kiwango cha asilimia mia moja, jambo hilo ni ugaidi wa dhahiri. Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, kilichoshambuliwa kwa mabomu. Jumamosi iliyopita, majira ya saa sita  usiku, watu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mjamzito atembea kilometa mia moja kutafuta msaada

pregnant_african_woman-istock_000012169363small

Na Nathaniel Limu

MKULIMA mkazi wa kijiji cha Ighombwe wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Esther Jilala (16),amelazimika kutembea umbali wa kilometa zaidi ya mia moja kutafuta msaada baada ya kuchoka kunyanyaswa na kupigwa kila siku mume wake.

Esther ambaye kwa sasa ana mimba ya miezi mitatu,alitembea umbali huo kwa siku mbili mfululizo.

Imedaiwa siku moja kabla ya kufanya maamuzi magumu ya kutoroka,alipigwa vibaya na mume wake Michael Luhenga, kwa kumutuhumu kuwa aliachia ndama wanyonye...

 

11 years ago

GPL

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MASHINDANO YA DANSI MIA MIA

Majaji wa shindano la Dansi 100% wakifuatilia kwa makini kutoka kushoto ni Super Nyamwela,Queen Doreen na mtangazaji wa EATV, Lotus Kyamba.…

 

10 years ago

Bongo5

Niko sawa tu — asema Collo kwenye picha akiwa na noti za kutisha za dola mia mia!

Rapper wa Kenya, Collo anaweza kuwa amepotea kwa kiasi kwenye mawimbi ya redio na TV licha ya kuwa na ngoma mpya za hapa na pale, lakini haimaanishi kuwa amepigika. Pengine anataka kudhihirisha hilo kwa mashabiki wake ndio maana ameamua kupost picha Instagram akiwa ameshika lundo la kutisha la noti za dola mia mia! “Sina ubaya […]

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA DANCE MIA MIA WATEMBELEA GLOBAL

Washindi wa dance mia mia mwaka 2014, kundi la Wakali Sisi wakiwa katika ofisi ya Global Publishers. W akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani) kupitia Global.…

 

11 years ago

GPL

MAGARI ZAIDI YA MIA YAKWAMA ENEO LA MANZESE BARABARA YA DAR ES SALAAM MTWARA

 Malori na Mabasi yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea na safari kwa takribani masaa zaidi ya nane katika eneo la Manzese lililopo Kilwa barabara ya Dar Es salaam kuelekea Mtwara hapo jana kutokana na eneo hilo kuharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha na kupelekea magari zaidi ya mia kukwama  Baadhi ya wasafiri kwenye mabasi yaendayo Dar Es Salaam kutoka Mtwara, Lindi na Kilwa na yale...

 

5 years ago

Michuzi

ZAIDI ya wabunifu 700 nchini wamepata ajira za moja kwa moja

 Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Watu (HDIF) Joseph Manirakiza kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya wiki ya ubunifu itakayoanza Machi 8 hadi 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith na kushoto ni Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Dr. Amos Nungu. Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith  katikati akifafanua jambo kwa waandishi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga mia mia, Simba ni shiida!

Dar/mikoani. Yanga imerejea kileleni mwa Ligi Kuu baada ya kuichapa  Kagera Sugar kwa mabao 2-1, huku Mgambo JKT ikiendeleza ubabe wake kwa Simba kwa kuichapa 2-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani