Mjamzito atembea kilometa mia moja kutafuta msaada
Na Nathaniel Limu
MKULIMA mkazi wa kijiji cha Ighombwe wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Esther Jilala (16),amelazimika kutembea umbali wa kilometa zaidi ya mia moja kutafuta msaada baada ya kuchoka kunyanyaswa na kupigwa kila siku mume wake.
Esther ambaye kwa sasa ana mimba ya miezi mitatu,alitembea umbali huo kwa siku mbili mfululizo.
Imedaiwa siku moja kabla ya kufanya maamuzi magumu ya kutoroka,alipigwa vibaya na mume wake Michael Luhenga, kwa kumutuhumu kuwa aliachia ndama wanyonye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Mama mjamzito aogelea kutafuta hospitali
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A1Qs8*3Ts4wKnBU3sleGhewVgCmP0nvBnUcGjxgST3b5LD0mWzgFal08HY7FUPkw1TCTKkrUXZK1ti9u022KZ0BQElC-RMRg/polisi.jpg)
NI UGAIDI ASILIMIA MIA MOJA
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Funza zaidi ya mia moja wabainika puani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/826oIv68XgiKO9TGK8vK8cFtNEZVawXAL8bOkC*lDCrYNUvgUMk7oq3Q9Oo6kN2kLlE*xDkawo8WEar9YZjYUHZBcZA*qFVz/6.jpg?width=650)
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MASHINDANO YA DANSI MIA MIA
10 years ago
Bongo525 Feb
Niko sawa tu — asema Collo kwenye picha akiwa na noti za kutisha za dola mia mia!
10 years ago
GPLWASHINDI WA DANCE MIA MIA WATEMBELEA GLOBAL
11 years ago
GPLMASHINDANO YA DANSI MIA MIA YAENDELEA
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Yanga mia mia, Simba ni shiida!
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA VIJANA CHADEMA NA VIJANA MIA MOJA KATA YA ORTURUMENTI WILAYA YA ARUMERU WAHAMIA CCM
Na Woinde Shizza,Arusha
Jumla ya wananchi 100 wa kata ya Ortumunti wilayani Arumeru kutoka katika vyama mbalimbali vya upinzani wamehamia chama cha Mapinduzi akiwemo...