Unyama zaidi wabainika Operesheni Tokomeza
>Unyama zaidi umebainika katika taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili baada ya kubainika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Francis Miti, kukiri kujihifadhi kwenye hoteli moja nje ya wilaya yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
UNYAMA, UBAKAJI NA MAUAJI: Operesheni Tokomeza Ujangili
OPERESHENI Tokomeza Ujangili imedhihirisha kwamba Tanzania imegeuka Guantanamo na imeacha kuwa ‘kisiwa cha amani’. Hakuna anayefurahia vitendo vya ujangili na uharibifu unaofanywa na majangili dhidi ya mazingira ya asili na...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Operesheni Tokomeza inarudi
10 years ago
Habarileo23 Oct
Operesheni Tokomeza kuendelea kuwezeshwa
SERIKALI imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza na hatimaye kukamilisha majukumu yake kama ilivyokusudiwa.
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Kesi 43 Operesheni Tokomeza zimeamuliwa
JUMLA ya kesi 43, kati ya 45 zilizofunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi wakati wa Operesheni Tokomeza Ujangili tayari zimesikilizwa na kutolewa uamuzi na Mahakama ya...
10 years ago
Habarileo11 Apr
JK apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza
RAIS Jakaya Kikwete jana alipokea Ripoti ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza katika hafla fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Fedha za Operesheni Tokomeza zayeyuka
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, amesema kuwa kiasi cha fedha zilizotengwa kwa ajili ya Operesheni Tokomeza Ujangili hazijulikani zilipo. Alisema kuwa...
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Funza zaidi ya mia moja wabainika puani
10 years ago
Habarileo31 Aug
Waomba operesheni tokomeza mauaji ya albino
SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi (SHIVYAWATA) limeiomba Serikali kuendesha operesheni maalumu ya kutokomeza vitendo vya mauaji dhidi ya walemavu wa ngozi (albino) ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati kwa ajili ya kuwabaini watu wanaojihusisha na matukio hayo ili sheria ichukue mkondo wake.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Wassira: Operesheni Tokomeza ilikuwa na madhara
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) na Mbunge wa Bunda, Steven Wassira, amefunguka na kusema kuwa hakuna mtu yeyote serikalini mwenye akili timamu anayeweza kukubali kuwa Operesheni...