Kesi 43 Operesheni Tokomeza zimeamuliwa
JUMLA ya kesi 43, kati ya 45 zilizofunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi wakati wa Operesheni Tokomeza Ujangili tayari zimesikilizwa na kutolewa uamuzi na Mahakama ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Operesheni Tokomeza inarudi
10 years ago
Habarileo23 Oct
Operesheni Tokomeza kuendelea kuwezeshwa
SERIKALI imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza na hatimaye kukamilisha majukumu yake kama ilivyokusudiwa.
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Fedha za Operesheni Tokomeza zayeyuka
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, amesema kuwa kiasi cha fedha zilizotengwa kwa ajili ya Operesheni Tokomeza Ujangili hazijulikani zilipo. Alisema kuwa...
10 years ago
Habarileo11 Apr
JK apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza
RAIS Jakaya Kikwete jana alipokea Ripoti ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza katika hafla fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo23 Dec
Polisi wakiri makosa Operesheni Tokomeza
JESHI la Polisi, limekuwa la kwanza kati ya taasisi saba zinazohusika moja kwa moja, kukiri udhaifu katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyowaondoa mawaziri wanne katika nafasi zao.
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Unyama zaidi wabainika Operesheni Tokomeza
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Wassira: Operesheni Tokomeza ilikuwa na madhara
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) na Mbunge wa Bunda, Steven Wassira, amefunguka na kusema kuwa hakuna mtu yeyote serikalini mwenye akili timamu anayeweza kukubali kuwa Operesheni...
11 years ago
Habarileo13 Jan
Operesheni Tokomeza ya pili kuanza karibuni
WAKATI hatua zaidi zikisubiriwa kuchukuliwa kwa watendaji waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa Operesheni Tokomeza, Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kutangaza kuanza kwa awamu ya pili ya Operesheni hiyo wakati wowote kuanzia sasa.
10 years ago
Habarileo31 Aug
Waomba operesheni tokomeza mauaji ya albino
SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi (SHIVYAWATA) limeiomba Serikali kuendesha operesheni maalumu ya kutokomeza vitendo vya mauaji dhidi ya walemavu wa ngozi (albino) ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati kwa ajili ya kuwabaini watu wanaojihusisha na matukio hayo ili sheria ichukue mkondo wake.