Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wakiri makosa Operesheni Tokomeza

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Isaya MunguluJESHI la Polisi, limekuwa la kwanza kati ya taasisi saba zinazohusika moja kwa moja, kukiri udhaifu katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyowaondoa mawaziri wanne katika nafasi zao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOANI TABORA LAENDELEA NA OPERESHENI TOKOMEZA UHALIFU,WATANO WATIWA MBARONI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora,ACP Suzan S. Kaganda akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) silaha zilizokamatwa na Jeshi la Polisi mkoani humo katika Opereshen kali iliyokuwa ikifanyika. ambapo walikamatwa watuhumiwa watano wakiwa na silaha hizo aina ya SMG mbili No AB-018-0414 na EE 125419 zikiwa na risasi 25 na Gobore tatu,baruti na goroli pamoja na vipande vya nondo.Watuhumiwa hao walikamatwa katika maeneo ya Igunga,Kaliua na Sikonge mkoani Tabora.Kamanda wa Polisi mkoa wa...

 

10 years ago

Habarileo

IMTU wakiri makosa, waahidi kutimiza masharti

UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) umekiri makosa yaliyosababisha kusitishwa kudahili wanafunzi wapya kwa mwaka 2014/15 na kuahidi kushughulikia tatizo hilo kabla notisi ya miezi mitatu kuisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Operesheni Tokomeza inarudi

Rais Jakaya Kikwete amesema Operesheni Tokomeza Ujangili iliyositishwa kwa muda kutokana na utekelezaji wake kukumbwa na kasoro na kusababisha mawaziri wake wanne kuwajibika kisiasa, itaendelea baada ya kukamilika kwa matayarisho ya awamu yake ya pili.

 

10 years ago

Habarileo

Operesheni Tokomeza kuendelea kuwezeshwa

SERIKALI imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza na hatimaye kukamilisha majukumu yake kama ilivyokusudiwa.

 

10 years ago

Habarileo

JK apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete jana alipokea Ripoti ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza katika hafla fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi 43 Operesheni Tokomeza zimeamuliwa

JUMLA ya kesi 43, kati ya 45 zilizofunguliwa katika Mahakama  ya Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi wakati wa Operesheni Tokomeza Ujangili tayari zimesikilizwa na kutolewa uamuzi na Mahakama ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fedha za Operesheni Tokomeza zayeyuka

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, amesema kuwa kiasi cha fedha zilizotengwa kwa ajili ya Operesheni Tokomeza Ujangili hazijulikani zilipo. Alisema kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Waomba operesheni tokomeza mauaji ya albino

SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi (SHIVYAWATA) limeiomba Serikali kuendesha operesheni maalumu ya kutokomeza vitendo vya mauaji dhidi ya walemavu wa ngozi (albino) ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati kwa ajili ya kuwabaini watu wanaojihusisha na matukio hayo ili sheria ichukue mkondo wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wassira: Operesheni Tokomeza ilikuwa na madhara

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) na Mbunge wa Bunda, Steven Wassira, amefunguka na kusema kuwa hakuna mtu yeyote serikalini mwenye akili timamu anayeweza kukubali kuwa Operesheni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani