Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNYAMA, UBAKAJI NA MAUAJI: Operesheni Tokomeza Ujangili

OPERESHENI Tokomeza Ujangili imedhihirisha kwamba Tanzania imegeuka Guantanamo na imeacha kuwa ‘kisiwa cha amani’. Hakuna anayefurahia vitendo vya ujangili na uharibifu unaofanywa na majangili dhidi ya mazingira ya asili na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’

>Mayoo mayoo namulaga ushing’weng’we, mayoo mayo namulaga ushing’weng’we, usambo wamalaga mitugo jisee lelo namulaga. Ushing’weng’we tongejagi asimize na bake bakwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Unyama zaidi wabainika Operesheni Tokomeza

>Unyama zaidi umebainika katika taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili baada ya kubainika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Francis Miti, kukiri kujihifadhi kwenye hoteli moja nje ya wilaya yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais akabidhiwa ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili

Tume iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete Mei Mosi mwaka jana kuchunguza vitendo vilivyotokana na uendeshaji wa Operesheni ya Tokomeza Ujangili ambayo iliwang’oa mawaziri wanne, imemaliza kazi jana na kukabidhi ripoti kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Tokomeza Ujangili imeongeza idadi ya walemavu

OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyoendeshwa kinyama, imesababisha ulemavu kwa baadhi ya wananchi. Ilikuwa ikiendeshwa na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), polisi...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili

>Rais Jakaya Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi, kuhusu vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.

 

10 years ago

Habarileo

Waomba operesheni tokomeza mauaji ya albino

SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi (SHIVYAWATA) limeiomba Serikali kuendesha operesheni maalumu ya kutokomeza vitendo vya mauaji dhidi ya walemavu wa ngozi (albino) ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati kwa ajili ya kuwabaini watu wanaojihusisha na matukio hayo ili sheria ichukue mkondo wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Operesheni Tokomeza inarudi

Rais Jakaya Kikwete amesema Operesheni Tokomeza Ujangili iliyositishwa kwa muda kutokana na utekelezaji wake kukumbwa na kasoro na kusababisha mawaziri wake wanne kuwajibika kisiasa, itaendelea baada ya kukamilika kwa matayarisho ya awamu yake ya pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani