Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili

>Rais Jakaya Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi, kuhusu vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Taarifa ya tume kuchunguza operesheni tokomeza yaiva



NA RACHEL KYALA TUME ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, inatarajia kuwasilisha taarifa yake kwa Rais Jakaya Kikwete, wakati wowote kuanzia sasa. Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji (mstaafu) Hamisi Msumi, alisema hayo alipozungumza na Uhuru jana na kueleza kwamba wameshakamilika kazi. Alisema walifanya majumuisho ya taarifa na kukamilisha ripoti ambayo  wanapaswa kumkabidhi Rais Kikwete.
“Wakati wowote kuanzia leo, tutamwomba Rais Kikwete atupangie siku ya kukutana naye ili tumkabidhi ripoti...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aahidi kuchunguza upya Operesheni Tokomeza

Mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa Awamu ya Tano, ataunda tume tatu ikiwamo ya kuchunguza upya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili ambalo utekelezaji wake ulilalamikiwa na wananchi.

 

10 years ago

Habarileo

DC aunda Tume kuchunguza mauaji ya simba

MKUU wa wilaya ya Babati Khalid Mandia ameunda tume ya watu watatu wakisaidiwa na maofisa Wanyama Pori wa wilaya hiyo kuchunguza mauaji ya simba sita yaliyotokea katika kijiji cha Olasiti, kata ya Nkaiti Januari mosi mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Bendera aunda tume kuchunguza migodi iliyoungua

>Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera ameunda tume maalumu ya kuchunguza chanzo cha moto uliotokea hivi karibuni katika migodi 16 ya madini ya Tanzanite ya Kitalu B (Opec) mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro.

 

10 years ago

Vijimambo

DC KINONDONI AUNDA TUME HURU KUCHUNGUZA UBOVU WA BARABARA

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, kuhusu tume aliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza ubovu wa barabara katika wilaya hiyo. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameunda tume ya wajumbe saba wakiwamo wawili kutoka serikalini kwa ajili ya kuchunguza ubovu wa barabara katika wilaya hiyo.

Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UNYAMA, UBAKAJI NA MAUAJI: Operesheni Tokomeza Ujangili

OPERESHENI Tokomeza Ujangili imedhihirisha kwamba Tanzania imegeuka Guantanamo na imeacha kuwa ‘kisiwa cha amani’. Hakuna anayefurahia vitendo vya ujangili na uharibifu unaofanywa na majangili dhidi ya mazingira ya asili na...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais akabidhiwa ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili

Tume iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete Mei Mosi mwaka jana kuchunguza vitendo vilivyotokana na uendeshaji wa Operesheni ya Tokomeza Ujangili ambayo iliwang’oa mawaziri wanne, imemaliza kazi jana na kukabidhi ripoti kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani