Taarifa ya tume kuchunguza operesheni tokomeza yaiva
NA RACHEL KYALA TUME ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, inatarajia kuwasilisha taarifa yake kwa Rais Jakaya Kikwete, wakati wowote kuanzia sasa. Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji (mstaafu) Hamisi Msumi, alisema hayo alipozungumza na Uhuru jana na kueleza kwamba wameshakamilika kazi. Alisema walifanya majumuisho ya taarifa na kukamilisha ripoti ambayo wanapaswa kumkabidhi Rais Kikwete.
“Wakati wowote kuanzia leo, tutamwomba Rais Kikwete atupangie siku ya kukutana naye ili tumkabidhi ripoti...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 May
JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziSERIKALI YATOA TAARIFA YA TUME KUKAMILISHA KAZI YA UCHUNGUZI DHIDI YA MASWI KUHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW NA ILE YA OPERESHENI TOKOMEZA
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Lowassa aahidi kuchunguza upya Operesheni Tokomeza
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Ukata wakwamisha Tume ya Operesheni Tokomeza
Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi Ombeni Sefue
NA MICHAEL SARUNGI
TUME iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuchunguza madhara yaliyotokea katika Operesheni Tokomeza Ujangili, hadi sasa inadaiwa haijaanza kazi kutokana na madai ya kutopatiwa fedha, MTANZANIA limebaini.
Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA, umebaini kuwa tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Hamisi Msumi haijaanza kazi .
Akizungumzia kutofanya kazi kwa tume hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi...
10 years ago
Michuzi13 Aug
11 years ago
MichuziJK aapisha Balozi mmojA na Wajumbe wanne wa Tume ya Operesheni Tokomeza
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya
Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda.
Na Mwandishi Wetu
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya kwanza ya ziara yake katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji hiyo.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume hiyo iliyotolewa leo, Jumatano (Septemba 10, 2014) na Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda, ziara hiyo itaanza tarehe 17 mwezi huu na kumalizika tarehe 6 mwezi ujao.
Kwa mujibu...
10 years ago
MichuziTume Operesheni Tokomeza kukusanya maoni mikoa ya Kaskazini na Kati Januari 2015
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa kuanzia tarehe 5 Januari , 2015 mpaka tarehe 21 Januari,2015 katika...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10