Lowassa aahidi kuchunguza upya Operesheni Tokomeza
Mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa Awamu ya Tano, ataunda tume tatu ikiwamo ya kuchunguza upya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili ambalo utekelezaji wake ulilalamikiwa na wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Mar
Taarifa ya tume kuchunguza operesheni tokomeza yaiva
NA RACHEL KYALA TUME ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, inatarajia kuwasilisha taarifa yake kwa Rais Jakaya Kikwete, wakati wowote kuanzia sasa. Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji (mstaafu) Hamisi Msumi, alisema hayo alipozungumza na Uhuru jana na kueleza kwamba wameshakamilika kazi. Alisema walifanya majumuisho ya taarifa na kukamilisha ripoti ambayo wanapaswa kumkabidhi Rais Kikwete.
“Wakati wowote kuanzia leo, tutamwomba Rais Kikwete atupangie siku ya kukutana naye ili tumkabidhi ripoti...
11 years ago
Mwananchi03 May
JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Lowassa: Nitachunguza upya madhara Operation Tokomeza
NA MAREGESI PAUL, MPANDA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema wanaompiga vita walie tu kwa sababu hawezi kuzuia mafuriko kwa mkono.
Lowassa ametoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni katika viwanja vya Kashaulili vilivyoko Mpanda, mkoani Katavi. “Nilishasema siwezi kuzuia mafuriko haya kwa mkono, sasa yanawasumbua wao, nasema siwezi kuyazuia kwa mkono,”...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Operesheni Tokomeza inarudi
10 years ago
Habarileo23 Oct
Operesheni Tokomeza kuendelea kuwezeshwa
SERIKALI imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza na hatimaye kukamilisha majukumu yake kama ilivyokusudiwa.
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Kesi 43 Operesheni Tokomeza zimeamuliwa
JUMLA ya kesi 43, kati ya 45 zilizofunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi wakati wa Operesheni Tokomeza Ujangili tayari zimesikilizwa na kutolewa uamuzi na Mahakama ya...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Fedha za Operesheni Tokomeza zayeyuka
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, amesema kuwa kiasi cha fedha zilizotengwa kwa ajili ya Operesheni Tokomeza Ujangili hazijulikani zilipo. Alisema kuwa...
10 years ago
Habarileo11 Apr
JK apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza
RAIS Jakaya Kikwete jana alipokea Ripoti ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza katika hafla fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo23 Dec
Polisi wakiri makosa Operesheni Tokomeza
JESHI la Polisi, limekuwa la kwanza kati ya taasisi saba zinazohusika moja kwa moja, kukiri udhaifu katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyowaondoa mawaziri wanne katika nafasi zao.