Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume Operesheni Tokomeza kukusanya maoni mikoa ya Kaskazini na Kati Januari 2015

Na. Mwandishi Wetu
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa kuanzia tarehe 5 Januari , 2015 mpaka tarehe 21 Januari,2015 katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tume “Operesheni Tokomeza” kukusanya maoni Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma, Januari, 2015

IMG_4793

Katibu wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, Bw.Frederick Manyanda.

Na. Mwandishi Wetu

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe  24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara

Manyanda (1)

Na Mwandishi Wetu

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya pili ya ziara yake katika Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Katibu wa Tume hiyo Wakili Fredrick Manyanda (pichani), Tume hiyo itatembelea mikoa hiyo kuanzia keshokutwa Alhamisi, Oktoba 23, mwaka huu hadi tarehe Novemba...

 

10 years ago

Mtanzania

Ukata wakwamisha Tume ya Operesheni Tokomeza

Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi Ombeni Sefue

Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi Ombeni Sefue

NA MICHAEL SARUNGI

TUME iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuchunguza madhara yaliyotokea katika Operesheni Tokomeza Ujangili, hadi sasa inadaiwa haijaanza kazi kutokana na madai ya kutopatiwa fedha, MTANZANIA limebaini.

Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA, umebaini kuwa tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Hamisi Msumi haijaanza kazi .

Akizungumzia kutofanya kazi kwa tume hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Taarifa ya tume kuchunguza operesheni tokomeza yaiva



NA RACHEL KYALA TUME ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, inatarajia kuwasilisha taarifa yake kwa Rais Jakaya Kikwete, wakati wowote kuanzia sasa. Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji (mstaafu) Hamisi Msumi, alisema hayo alipozungumza na Uhuru jana na kueleza kwamba wameshakamilika kazi. Alisema walifanya majumuisho ya taarifa na kukamilisha ripoti ambayo  wanapaswa kumkabidhi Rais Kikwete.
“Wakati wowote kuanzia leo, tutamwomba Rais Kikwete atupangie siku ya kukutana naye ili tumkabidhi ripoti...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili

>Rais Jakaya Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi, kuhusu vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.

 

11 years ago

Michuzi

JK aapisha Balozi mmojA na Wajumbe wanne wa Tume ya Operesheni Tokomeza

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amemwapisha balozi mmoja pamoja na wajumbe wanne wa Tume ya Operesheni Tokomeza katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Balozi aliyeapishwa ni Mhe. oseph Edward Sokoine ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Wajumbe walioapishwa nia pamoja na Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mstaafu Hamisi Amiri Msumi,Jaji Mstaafu Steven Ernest Ihema,Jaji Mstaafu Vincent Damian...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya

Manyanda

Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda.

Na Mwandishi Wetu

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya kwanza ya ziara yake katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji hiyo.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume hiyo iliyotolewa leo, Jumatano (Septemba 10, 2014) na Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda, ziara hiyo itaanza tarehe 17 mwezi huu na kumalizika tarehe 6 mwezi ujao.

Kwa mujibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani