Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais akabidhiwa ripoti ya Operesheni Tokomeza Ujangili

Tume iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete Mei Mosi mwaka jana kuchunguza vitendo vilivyotokana na uendeshaji wa Operesheni ya Tokomeza Ujangili ambayo iliwang’oa mawaziri wanne, imemaliza kazi jana na kukabidhi ripoti kwa Rais Jakaya Kikwete, Ikulu, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza

Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji(Mstaafu) Balozi Hamisi Amiri Msumi akimkabithi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti ya Uchunguzi wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Kikwete aliiteua tume hiyo mwaka jana kuchunguza tuhuma za uvunjifu wa sheria katika utekelezaji wa operesheni hiyo.Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa operesheni Tokomomeza ikulu leo. picha na Freddy Maro.

 

10 years ago

Habarileo

JK apokea Ripoti ya Operesheni Tokomeza

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete jana alipokea Ripoti ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza katika hafla fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Tokomeza Ujangili imeongeza idadi ya walemavu

OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyoendeshwa kinyama, imesababisha ulemavu kwa baadhi ya wananchi. Ilikuwa ikiendeshwa na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), polisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UNYAMA, UBAKAJI NA MAUAJI: Operesheni Tokomeza Ujangili

OPERESHENI Tokomeza Ujangili imedhihirisha kwamba Tanzania imegeuka Guantanamo na imeacha kuwa ‘kisiwa cha amani’. Hakuna anayefurahia vitendo vya ujangili na uharibifu unaofanywa na majangili dhidi ya mazingira ya asili na...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aunda Tume kuchunguza Operesheni Tokomeza Ujangili

>Rais Jakaya Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi, kuhusu vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.

 

11 years ago

Mwananchi

Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’

>Mayoo mayoo namulaga ushing’weng’we, mayoo mayo namulaga ushing’weng’we, usambo wamalaga mitugo jisee lelo namulaga. Ushing’weng’we tongejagi asimize na bake bakwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Operesheni Tokomeza inarudi

Rais Jakaya Kikwete amesema Operesheni Tokomeza Ujangili iliyositishwa kwa muda kutokana na utekelezaji wake kukumbwa na kasoro na kusababisha mawaziri wake wanne kuwajibika kisiasa, itaendelea baada ya kukamilika kwa matayarisho ya awamu yake ya pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani