ZAIDI ya wabunifu 700 nchini wamepata ajira za moja kwa moja
![](https://1.bp.blogspot.com/-g2CREGAJnrM/XmEEUbQOqdI/AAAAAAALhTs/PYgQsbH9lzM-rof9OIduiKC7WDApKq1kwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-05%2Bat%2B3.42.49%2BPM.jpeg)
Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Watu (HDIF) Joseph Manirakiza kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya wiki ya ubunifu itakayoanza Machi 8 hadi 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith na kushoto ni Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Dr. Amos Nungu.
Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith katikati akifafanua jambo kwa waandishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TaugVSsGZy8/U-kvBNCI-MI/AAAAAAAF-uQ/_JagGFK6cBU/s72-c/1.jpg)
BBC yazindua studio zake nchini,kipindi cha asubuhi cha Amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-TaugVSsGZy8/U-kvBNCI-MI/AAAAAAAF-uQ/_JagGFK6cBU/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-87opgzZT644/U-kvG9YDzQI/AAAAAAAF-vU/HHy3_J7MZD0/s1600/2.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y9Yc5qVXVzR0bjQLY6*DjEMchQuuE3HcB-BgL8*z1kyG4NCqyl8y*I2zNRHRoW55*DuYDlUCc*HzHs-wozmffdSQOYJFEBta/c1.jpg?width=650)
BBC YAZINDUA STUDIO ZAKE NCHINI, KIPINDI CHA ASUBUHI CHA AMKA NA BBC KURUKA MOJA KWA MOJA KUTOKEA DAR
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
BBC Swahili yazindua studio nchini, Kipindi cha asubuhi cha amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea Dar
Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.(Picha zote na Othman Michuzi).
BBC Idhaa ya Ulimwengu, imezindua ofisi zake jijini Dar es Salaam. Ofisi za Dar es Salaam zina studio ambazo zinatumika kuandaa matangazo maarufu ya redio ya asubuhi, Amka na BBC, na pia...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/fYpUPgvh1sk/default.jpg)
9 years ago
BBCSwahili15 Aug
RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA
9 years ago
Bongo506 Oct
Zari hawezi kuhamia Tanzania moja kwa moja — Diamond
11 years ago
Habarileo14 Apr
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Dwmm4KmphnQ/U5-WBw-bwQI/AAAAAAAAHHg/2-xLkKG6eLY/s72-c/Anna+Mwalagho1.jpg)
Mahojiano ya moja kwa moja na msanii Anna Mwalagho kuhusu Tamasha lijalo
![](http://2.bp.blogspot.com/-Dwmm4KmphnQ/U5-WBw-bwQI/AAAAAAAAHHg/2-xLkKG6eLY/s1600/Anna+Mwalagho1.jpg)
Photo Credits Anna Mwalagho Facebook page Karibu katika mahojiano mafupi na ya moja kwa moja kati ya msanii Anna Mwalagho na Kwanza Production kwenye kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi Juni 14, 2014 Amezungumzia tamasha kubwa linaloendelea ambalo atatumbuiza pamoja na kikundi chake kwa siku tatu
![](http://3.bp.blogspot.com/-ck-tKehoUCA/U5-WDdw1peI/AAAAAAAAHHo/957Dm_G73v8/s1600/Anna+Mwalagho.jpg)
Tamasha hilo linaandaliwa kwa ushirikiano wa watu wa Oman na maktaba ya sanaa za waAfrika hapa Washington DC Karibu usikilize
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
Askari wa Wanyamapori sasa kuajiriwa moja kwa moja kama Majeshi mengine
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akikwagua gwaride la heshima jana alipowasili Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa na Taasisi ya Buffet Foundation kwa jili ya mafunzo ikiwemo vitabu, kompyuta, magari na darubini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiangalia moja ya kompyuta maalum zinazotumiwa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa...