Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBWEMBWE ZA KUMPOSA MCHUMBA WAKE ZAMTOKEA PUANI

'Kreni' ilitumbukia ndani ya nyumba wakati ikimbeba mwanamume aliyekuwa anamposa mpenzi wake
Mwanamume mmoja raia wa udachi amejikuta akikimbilia usalama wake baada ya jaribio la kutaka kumposa mpenzi wake kwa mbwembwe kwenda mrama.

Mtu huyo ambaye hakutajwa kwa jina anayeishi mjini Ijsselstein alikodisha 'kreni' au Crane na kuipanda akipanga kwamba kreni hilo imtoe chini na kumpanidhs hadi dirishani mwa mpenzi wake ambapo angemchezea wimbo na kisha kumposa.

Badala yake yaliyomkuta...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAMISA AMUANIKA MCHUMBA WAKE

MAHABA niue! Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii  huku akimmwagia sifa kemkem. Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto akila ujana na mpenzi wake. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili baada ya kuvutiwa waya, Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote...

 

11 years ago

GPL

MISS TANZANIA AMWANIKA MCHUMBA WAKE!

Na Jelard Lucas
MISS Tanzania mwaka 2011, Salha Israel amevunja ukimya baada ya kumuweka wazi mwanaume anayetoka naye, jambo ambalo amejaribu kulifanya siri kwa muda mrefu. Miss Tanzania mwaka 2011, Salha Israel. Salha alifungua kinywa na kubainisha hayo, hivi karibuni alipokuwa kwenye mahojiano na
inayorushwa na mtandao namba moja wa burudani Bongo, www.globalpublishers.info ya Kampuni ya Global Publishers. Akijibu swali la...

 

10 years ago

Bongo5

Ndoa ya Barnaba na mchumba wake yanukia

Mchumba wa Barnaba, Zubeda amesema anafurahia maisha yake na mpenzi wake Barnaba na kwamba watafunga ndoa hivi karibuni. Zubeda ameiambia Bongo5 kuwa mipango ya ndoa imekamilika na kwamba wanasubiri kuamua tarehe tu. “Tayari ameshatoa pesa ya barua pamoja na mahari, kwahiyo bado tu kupanga tarehe ya ndoa,” amesema Mama Steve. “Barua alitoa toka mwaka jana […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amuua mchumba wake, afukia mwili porini

MKAZI wa Kijiji cha Kiroreli, wilayani Bunda, Wambura Magonze, ameuawa na mchumba wake na kisha mwili wake kufukiwa porini. Tukio hilo lilitokea Machi 22 mwaka huu, saa 3 asubuhi katika...

 

9 years ago

Bongo5

Luteni Kalama kufunga ndoa na mchumba wake Bella

Msanii wa kundi la Gangwe Mob, Luteni Kalama amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake Bella. Akizungumza na Friday Night Live hivi karibuni, Kalama alisema yeye na mpenzi wake Bella wapo kwenye maandalizi ya kufunga pingu za maisha. “Bella bado niko naye ni mchumba wangu na soon ndoa itafanyika. Tulikuwa hatufanyi kwaajili ya […]

 

10 years ago

Vijimambo

Shilole Amchapa Kofi Mchumba Wake Nuh Mziwanda

Kwa mujibu wa Gazeti la Marokocho, mwanamziki na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Zuwena Mohammed “Shilole” alimpiga kofi mchuma wake Nuh Mziwanda mbele ya umati wa watu. Gazati la Makolokocho liliripoti kama ifuatavyo;
Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko yao lililofanyika Leaders Club, ilishuhudiwa live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na...

 

10 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego na mchumba wake wapata mtoto wa kiume

Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema amejifungua mtoto wa kiume jana ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama wa msanii huyo. Mtoto wa Nay akiwa na bibi yake Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nay ameandika:Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama angu mzazi,,, tukiwa 2nakata cake napigiwa cm nimepata mtoto […]

 

10 years ago

Vijimambo

ROMARIO NA MCHUMBA WAKE MPYA WANASEMA UMRI NI SAWA NA 1,2,3

Romario mwenye umri wa miaka 48 na mchumba wake ni miaka 19 inaonyesha kuwa Brazil walivyochuka ubigwa wa dunia mwaka 1994 mashindano yalifanyika Marekani. Na Romario kufunga magoli 5 kwenye mashinda hayo  mrembo huyu alikuwa ajazaliwa piga hesabu mwenyewe na utajua wako tofauti miaka ngapi chezea mapenzi wewe jipange wanaume hawazeeke.Mrembo anaitwa Dixie Pratt mwenye umri wa miaka 19 na Romario ni 48 miaka 29 zaidi ya mpenzi wake.Bata batani pande za Aruba Romario na tunda lake changa bado...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani