Nay wa Mitego na mchumba wake wapata mtoto wa kiume
Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema amejifungua mtoto wa kiume jana ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama wa msanii huyo. Mtoto wa Nay akiwa na bibi yake Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nay ameandika:Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama angu mzazi,,, tukiwa 2nakata cake napigiwa cm nimepata mtoto […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM31 Oct
NAY WA MITEGO,SIWEMA WAPATA MTOTO WA KIUME
STAA wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego na mpenzi wake aitwaye Siwema wamepata mtoto wa kiune hivi karibuni.
11 years ago
Bongo508 Sep
Exclusive Pics: Mchumba wa Nay wa Mitego, Siwema ni mjamzito tena!
11 years ago
GPL
NAY WA MITEGO AMWANIKA MTOTO WA SKAINA!
9 years ago
Bongo506 Dec
Kanye West na Kim Kardashian wapata mtoto wa kiume

Hatimaye mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian amejifungua mtoto wao wa pili, wa kiume siku ya Jumamosi Asubuhi (Dec .5).
Kim aliandika taarifa ya kujifungua kupitia website yake. “Kim Kardashian West and Kanye West welcomed the arrival of their son this morning. Mother and son are doing well,” ulisomeka ujumbe huo.
He's here! https://t.co/KlWQrG3Ri9 pic.twitter.com/NRLQCeQ5H4
— Kim Kardashian West (@KimKardashian) December 5, 2015
Mpaka sasa Kim na Kanye bado hawajasema jina la mtoto...
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Shamsa Ford anamlea mtoto wa Nay Wa Mitego?
Picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford akiwa amembeba mtoto wa staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego, Curtis imezua maswali kwa mashabiki wao kuwa huenda mwigizaji huyo kwa sasa anamlea mtoto huyo.
Miezi ya hivi karibuni Nay Wa Mitego aliamua kumchukua mtoto wake kutoka kwa mama yake Siwema aliyekuwa akiishi jijini Mwanza baada ya kutoelewana kati yao na minong’ono ilisambaa kuwa msanii huyo anatoka kimapenzi na Shamsa Ford.
Hata hivyo wote wawili walikana...
10 years ago
Bongo529 Dec
Alicia Keys na Swizz Beatz wapata mtoto wa pili wa kiume
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Nay wa Mitego azinguana na demu wake
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’
BRIGHTON MASALU
KUFUATIA kunaswa na mrembo mpya na picha hizo kuanikwa na gazeti la Risasi juzikati, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ yuko kwenye mgogoro mzito na mpenzi wake aishie Marekani, Stella Tilya ‘Chagga Baby’.
Stella Tilya ‘Chagga Baby’.
Akizungumza na Amani, Nay alisema msuguano uliopo kati yake na mwanamke huyo ni mkubwa kwani picha hizo akiwa na msichana aliyejulikana kwa jina moja la...
10 years ago
CloudsFM08 Apr
Nay Wa Mitego afunguka uhusiano wake na Shamsa Ford
Staa wa Bongo Fleva,Elibarik Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’amefunguka uhusiano wake na mwigizaji wa filamu za Kibongo,Shamsa Ford baada ya picha kadhaa kuzagaa mtandaoni wakiwa kimahaba wakipigana mabusu.Akipiga Stori na Clouds Fm alisema kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote kwa sasa siyo tu Shamsa Ford, na nafasi ipo kwa yoyote anatakayekubali kuwa mpenzi wake.
11 years ago
Bongo518 Sep
Mwisho mwampamba na mkewe Mnamibia Meryl wa ‘BBA’ wapata mtoto wao pili wa kiume