NAY WA MITEGO AMWANIKA MTOTO WA SKAINA!
![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mjHLT44XdvMQ95jt2HktB*jPu*KBj2STbuds8gFusilpOZ388Da8LuBf79vRsS1yKDBbcvXxvgJ8If*y78m0jdR/nay.jpg)
Stori: Gladness Mallya Mambo hadharani! Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na kukiri kwamba ni wa kwake. Mtoto wa staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ wa miaka miwili na nusu anayejulikana kwa jina la Munie. Akizungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhMpfFA9J0M-1AxiXXEscrpUm*Fg-G2CVHLZ8yEtWDu0NwHUHLFGbQhgyZsB6VKKNLgCHWzys-2DVPk70m2cFESS/skain.jpg?width=650)
KUMBE NAY WA MITEGO NDIYE ALIYEUNJA NDOA YA SKAINA!
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Shamsa Ford anamlea mtoto wa Nay Wa Mitego?
Picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford akiwa amembeba mtoto wa staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego, Curtis imezua maswali kwa mashabiki wao kuwa huenda mwigizaji huyo kwa sasa anamlea mtoto huyo.
Miezi ya hivi karibuni Nay Wa Mitego aliamua kumchukua mtoto wake kutoka kwa mama yake Siwema aliyekuwa akiishi jijini Mwanza baada ya kutoelewana kati yao na minong’ono ilisambaa kuwa msanii huyo anatoka kimapenzi na Shamsa Ford.
Hata hivyo wote wawili walikana...
10 years ago
CloudsFM31 Oct
NAY WA MITEGO,SIWEMA WAPATA MTOTO WA KIUME
STAA wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego na mpenzi wake aitwaye Siwema wamepata mtoto wa kiune hivi karibuni.
10 years ago
Bongo529 Oct
Nay wa Mitego na mchumba wake wapata mtoto wa kiume
10 years ago
CloudsFM11 Feb
Picha za mahaba za Nay Wa Mitego zazua balaa, ‘mkewe’ aondoka na mtoto nyumbani
Zile picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo,Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Edson ambaye baada ya kuziona aliamua kumchukua mtoto wake na kuondoka nyumbani kwa msanii huyo maeneo ya Kimara,jijini Dar.
Siwema akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa alipata mshtuko mkubwa sana baada ya kuziona picha hizo ambapo aliamua kuondoka nyumbani na mtoto wake mdogo.
‘’Kiukweli zile picha zilinishtua sana nilimuuliza Nay akaniambia ni...
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...