KUMBE NAY WA MITEGO NDIYE ALIYEUNJA NDOA YA SKAINA!
![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhMpfFA9J0M-1AxiXXEscrpUm*Fg-G2CVHLZ8yEtWDu0NwHUHLFGbQhgyZsB6VKKNLgCHWzys-2DVPk70m2cFESS/skain.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo SASA hakuna ubishi kuwa, ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na Saad Omar, chanzo ni Mwanabongo Fleva, Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’. Nay wa Mitego 'True Boy'. Habari za awali zilisema kuwa, ndoa ya Skaina iliingia mdudu baada ya mumewe kugundua kuwa alinunua ‘mbuzi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mjHLT44XdvMQ95jt2HktB*jPu*KBj2STbuds8gFusilpOZ388Da8LuBf79vRsS1yKDBbcvXxvgJ8If*y78m0jdR/nay.jpg)
NAY WA MITEGO AMWANIKA MTOTO WA SKAINA!
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWMB20jxNHc0eNKf5rkvnVvFa*i8OhZz-mgZykkH3IN0LnHXxiFd3*RG9XvDlbEplByaMAd9OSOb9MxU6XHaP*l/nay.jpg)
NAY NDIYE ‘MDUDU’ NDOA YA WEMA
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
GPL29 Aug
10 years ago
Bongo529 Aug
New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay
10 years ago
Bongo519 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya