Nay wa Mitego azinguana na demu wake
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’
BRIGHTON MASALU
KUFUATIA kunaswa na mrembo mpya na picha hizo kuanikwa na gazeti la Risasi juzikati, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ yuko kwenye mgogoro mzito na mpenzi wake aishie Marekani, Stella Tilya ‘Chagga Baby’.
Stella Tilya ‘Chagga Baby’.
Akizungumza na Amani, Nay alisema msuguano uliopo kati yake na mwanamke huyo ni mkubwa kwani picha hizo akiwa na msichana aliyejulikana kwa jina moja la...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM08 Apr
Nay Wa Mitego afunguka uhusiano wake na Shamsa Ford
Staa wa Bongo Fleva,Elibarik Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’amefunguka uhusiano wake na mwigizaji wa filamu za Kibongo,Shamsa Ford baada ya picha kadhaa kuzagaa mtandaoni wakiwa kimahaba wakipigana mabusu.Akipiga Stori na Clouds Fm alisema kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote kwa sasa siyo tu Shamsa Ford, na nafasi ipo kwa yoyote anatakayekubali kuwa mpenzi wake.
10 years ago
Bongo529 Oct
Nay wa Mitego na mchumba wake wapata mtoto wa kiume
10 years ago
CloudsFM09 Apr
Baada ya kuachana na Nay Wa Mitego,mambo yamnyookea Siwema,aanika mkoko wake mpya.
Mambo yameanza kumnyookea mzazi mwenziye na msanii wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego,Siwema baada ya kuanika mkoko wake mpya mtandaoni.
Nay Wa Mitego na Siwema wapo kwenye mgogoro hadi kufikia hatua msanii huyo kumchukua mtoto wake ambaye hivi sasa analelewa na mama yake Nay. Kupitia mtandao wa Instagram Siwema aliwahi kulalamika kuwa Nay Wa Mitego alimrudisha nyuma kimaendeleo.
10 years ago
Bongo514 Sep
Exclusive: Nay wa Mitego amzawadia studio mpya producer wake Mr T Touch inaitwa ‘Free Nation Production’
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
GPL29 Aug