Frank Atema Nyongo, Asema majungu na chembechembe za ubinafsi vinaimaliza Bongo Movie
Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.
Akizungumza na Gazeti la Mwananchi, muigizaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Mwikongi, alisema suala hilo lilimfanya ajisikie vibaya sambamba na kumjengea picha mbaya na hasa katika umoja uliokuwepo katika klabu ya Bongo Movie na aliyemfanyia hayo alikuwa mmoja wa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Frank Atema Nyongo,Anasema majungu na chembechembe za ubinafsi vinaimaliza Bongo Movie
Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.
Akizungumza na Gazeti la Mwananchi, muigizaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Mwikongi, alisema suala hilo lilimfanya ajisikie vibaya sambamba na kumjengea picha mbaya na hasa katika umoja uliokuwepo katika klabu ya Bongo Movie na aliyemfanyia hayo alikuwa mmoja wa...
10 years ago
Bongo509 Feb
PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Frank atema nyongo
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Casillas atema nyongo Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KIPA wa timu ya Simba, Hussein Shariff ‘Casillas’, amesema hayupo tayari kutolewa kwa mkopo kwenda timu nyingine, huku akidai bora aache kabisa kuitumikia timu hiyo na kuwa mchezaji huru.
Cassilas amekuwa majeruhi kwa muda mrefu baada ya kuumia goti walipokuwa kambini nchini Afrika Kusini mwaka jana, hali iliyopelekea kukaa muda mrefu bila kucheza, ambapo inadaiwa uongozi wake unataka kumtoa kwa mkopo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Cassilas alisema yupo...
9 years ago
Habarileo19 Aug
Mbunge wa zamani atema nyongo
MBUNGE wa Mpwapwa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika kura za maoni alipoomba ridhaa ya wanachama wa CCM kuwania tena ubunge wa jimbo hilo, Gregory Teu, amesema hatakuwa tayari kumuunga mkono mgombea aliyepitishwa na chama hicho tawala kuwania katika uchaguzi mkuu ujao, akidai ushindi huo alioupata ni wa mizegwe.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s72-c/dec7.gif)
ROSE NDAUKA ASEMA BAADA YA KANUMBA KUFARIKI BONGO MOVIE HAKUNA COMPETITION
![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s1600/dec7.gif)