ROSE NDAUKA ASEMA BAADA YA KANUMBA KUFARIKI BONGO MOVIE HAKUNA COMPETITION
![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s72-c/dec7.gif)
STEVE KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA ROSE NDAUKAKama wewe ni Mmoja wa Wapenzi wa Filamu za Nchini Tanzania na unafuatilia Vizuri basi utakubaliana na Rose Ndauka Kwamba Baada ya Kufariki STEVEN KANUMBARose Ndauka Ameongea na @DjHaazu na kusema Steven Kanumba aliipigania sana Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania Haswa kwa jitihada zake kukuza Wasanii wenzake ambapo kwa Moyo wake kwa kushirikiana na Wasanii wenzake Waliifikisha Sanaa ya Filamu Tanzania Hapo ilipo ila hadi sasa Hakuna Hatu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania08 Apr
Rose Ndauka: Pengo la Kanumba bado lipo
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
NYOTA wa kike wa filamu nchini, Rose Ndauka, amesema pengo la msanii mwenzake, marehemu Steven Kanumba, litaendelea kuwepo kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa kwenye tasnia hiyo.
Wakati jana ikiwa ni kumbukumbu ya miaka mitatu tangu Kanumba afariki dunia, Rose alizungumza na MTANZANIA na kusema kwamba msanii huyo aliikuza tasnia hiyo kwa kutumia wasanii chipukizi, akishirikiana na nyota wengine wenye majina makubwa.
“Pengo la Kanumba litaendelea kuwepo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI0ChfH2XtVUWjKOaGW7ImZErTfbeFCnwME9BcCMEmRxQnIFlgBxRQ2BeKhFTIq*NMhjxD0zcFdN1lfdq2sBIUzJ/walaafananii.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA KANUMBA FEKI, WAZUA GUMZO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdG71GPfFwGFYD4N-17mGEJ7HjyeTk-DOYEW*llgkpalgREYJo*MtqoaAlaJcY*yFFBjFFINPHq-Aszow9bcJZiKCNuAG6Tq/rose.jpg)
ROSE NDAUKA ASEMA UCHUMBA WAKE NGANGARI
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
Nyuma ya Kamera: KALEKWA Ndio Jina la Movie Mpya ya Richie na Rose Ndauka
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera zilizopiga wakiwa ON SET kwenye utengenezaji wa filamu mpya itakayoitwa KALEKWA, inayofanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment.
Movie hii mpya itawajumisha waigizaji wakali wengi wakiwemo Single matambalike “Richie”ambae ndio mwongozaji wa filamu hii na pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Bulls Entertainment na mwanadada Rose Ndauka amabao kwa pamoja wamekuwa wakitoa vitu vikali sana.
Tunaisubiri kwa hamu!!!.
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqJhZos4C3tgxbmyReV9SvAstZvV0HFDBD13i5ptSFm4uqMsKNen*lMN9Q7NWK3AbLhT5tBjRmF9ow4r8nV3vELT/rose.jpg)
BAADA YAKUACHIKA: ROSE NDAUKA AANGUSHA SHEREHE!
10 years ago
Bongo509 Feb
PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu
11 years ago
Daily News14 Mar
'Bongo Movie' to celebrate 3 years, honour Kanumba
Daily News
Daily News
MEMBERS of the domestic film industry, 'Bongo Movie', will mark three years anniversary cerebrations on March 28, this year, when some actors/actress stars, including the late Steven Kanumba and several others, will be honoured. This was announced in ...
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta
Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.
Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.
“Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli...