ROSE NDAUKA KANUMBA FEKI, WAZUA GUMZO!
![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI0ChfH2XtVUWjKOaGW7ImZErTfbeFCnwME9BcCMEmRxQnIFlgBxRQ2BeKhFTIq*NMhjxD0zcFdN1lfdq2sBIUzJ/walaafananii.jpg?width=650)
GUMZO! Waigizaji vinara ndani ya Bongo Movies, Rose Ndauka na Rammy Gallis ‘Kanumba Feki’ wameibua gumzo na minong’ono kufuatia kugandana na mara nyingi kuonekana peke yao huku mazungumzo na mapozi yao yakikoleza hisia kwamba, huenda ni wapenzi, Amani lilikuwepo. Waigizaji vinara ndani ya Bongo Movies, Rose Ndauka na Rammy Gallis ‘Kanumba Feki’ wakikata keki. Gumzo hilo liliibuka Oktoba 7, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania08 Apr
Rose Ndauka: Pengo la Kanumba bado lipo
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
NYOTA wa kike wa filamu nchini, Rose Ndauka, amesema pengo la msanii mwenzake, marehemu Steven Kanumba, litaendelea kuwepo kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa kwenye tasnia hiyo.
Wakati jana ikiwa ni kumbukumbu ya miaka mitatu tangu Kanumba afariki dunia, Rose alizungumza na MTANZANIA na kusema kwamba msanii huyo aliikuza tasnia hiyo kwa kutumia wasanii chipukizi, akishirikiana na nyota wengine wenye majina makubwa.
“Pengo la Kanumba litaendelea kuwepo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s72-c/dec7.gif)
ROSE NDAUKA ASEMA BAADA YA KANUMBA KUFARIKI BONGO MOVIE HAKUNA COMPETITION
![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s1600/dec7.gif)
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YKlX7Itxquljpl8u4wD0hut9p7RIra7Sh4Qp*gEUlPZBDIoCyoai5sfaBVRmhVniMKdcdrFrYp143HdhBk37U6MqFSi9okY0/diamond.gif)
DIAMOND, MTOTO WAZUA GUMZO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ68Nkfl34Y1v0gHCJgDVsgawvBY6iM1XeGMzrT36qYuB6Tx6K5IRc3ZhJrGNG8bqVDPpWQ97qjmAyUNHaj25OmHO/5001.jpg?width=650)
WEMA,IDRIS WA BBA WAZUA GUMZO
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Utoaji mimba wazua gumzo Marekani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA