Rose Ndauka: Pengo la Kanumba bado lipo
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
NYOTA wa kike wa filamu nchini, Rose Ndauka, amesema pengo la msanii mwenzake, marehemu Steven Kanumba, litaendelea kuwepo kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa kwenye tasnia hiyo.
Wakati jana ikiwa ni kumbukumbu ya miaka mitatu tangu Kanumba afariki dunia, Rose alizungumza na MTANZANIA na kusema kwamba msanii huyo aliikuza tasnia hiyo kwa kutumia wasanii chipukizi, akishirikiana na nyota wengine wenye majina makubwa.
“Pengo la Kanumba litaendelea kuwepo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI0ChfH2XtVUWjKOaGW7ImZErTfbeFCnwME9BcCMEmRxQnIFlgBxRQ2BeKhFTIq*NMhjxD0zcFdN1lfdq2sBIUzJ/walaafananii.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA KANUMBA FEKI, WAZUA GUMZO!
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s72-c/dec7.gif)
ROSE NDAUKA ASEMA BAADA YA KANUMBA KUFARIKI BONGO MOVIE HAKUNA COMPETITION
![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s1600/dec7.gif)
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Tatizo la ukatili wa kijinsia bado lipo
HIVI karibuni vyombo vya habari vimeripoti vitendo vya uka tili wa kijinsia mkoani Kagera kuongezeka. Taarifa hiyo iliyotolewa na Jeshi la Polisi ilieleza kuwa ukatili wa kijinsia umeongezeka kutoka matukio...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qjOvuSlrwYybk*b16Q39EGYwGNZTZ-j2mz90NnZG*D8LFHox3buIKXr6YdNugMRPvXb81kLxyDAJAcCot34huUr/maxresdefault.jpg?width=650)
JOHARI AZUNGUMZIA PENGO LA KANUMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4*HlhbisNz6nt9-5LHlOq6tf*OGSTh5Z7-8pquj05OtNzVnd-UTr8RDNWQLOS0y9imxc157Xw67RY5exOgtEjl/ROSE.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AYACHANA MAKUNDI