Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Casillas atema nyongo Simba

NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

KIPA wa timu ya Simba, Hussein Shariff ‘Casillas’, amesema hayupo tayari kutolewa kwa mkopo kwenda timu nyingine, huku akidai bora aache kabisa kuitumikia timu  hiyo na kuwa mchezaji huru.

Cassilas amekuwa majeruhi kwa muda mrefu baada ya kuumia goti walipokuwa kambini nchini Afrika Kusini mwaka jana, hali iliyopelekea kukaa muda mrefu bila kucheza, ambapo inadaiwa uongozi wake unataka kumtoa kwa mkopo.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Cassilas alisema yupo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Frank atema nyongo

Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge wa zamani atema nyongo

MBUNGE wa Mpwapwa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika kura za maoni alipoomba ridhaa ya wanachama wa CCM kuwania tena ubunge wa jimbo hilo, Gregory Teu, amesema hatakuwa tayari kumuunga mkono mgombea aliyepitishwa na chama hicho tawala kuwania katika uchaguzi mkuu ujao, akidai ushindi huo alioupata ni wa mizegwe.

 

10 years ago

Bongo Movies

Frank Atema Nyongo, Asema majungu na chembechembe za ubinafsi vinaimaliza Bongo Movie

Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.

Akizungumza na Gazeti la Mwananchi, muigizaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Mwikongi, alisema suala hilo lilimfanya ajisikie vibaya sambamba na kumjengea picha mbaya na hasa katika umoja uliokuwepo katika klabu ya Bongo Movie na aliyemfanyia hayo alikuwa mmoja wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Frank Atema Nyongo,Anasema majungu na chembechembe za ubinafsi vinaimaliza Bongo Movie

Kama ulidhani Frank alichukulia poa baada ya kuharibiwa safari yake ya kwenda kuigiza filamu jijini London, Uingereza mwaka jana, basi tambua kwamba alikuwa na nyongo ambayo mwaka huu ameamua kuitema.

Akizungumza na Gazeti la Mwananchi, muigizaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Mwikongi, alisema suala hilo lilimfanya ajisikie vibaya sambamba na kumjengea picha mbaya na hasa katika umoja uliokuwepo katika klabu ya Bongo Movie na aliyemfanyia hayo alikuwa mmoja wa...

 

11 years ago

GPL

Milioni 49 zamshusha Casillas Simba SC

Hussein Shariff 'Casillas' akisaini mkataba Simba SC Na Alpha Amos
SIMBA imefanikiwa kumsajili kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Shariff, kwa kitita cha shilingi milioni 30.
Shariff maarufu kwa jina la Casillas amesaini mkataba wa miaka miwili na timu hiyo, ambapo Mtibwa imepata Sh milioni 20 huku yeye akipewa milioni 20 na mshahara wa 800,000 kwa mwezi, hivyo jumla Simba itatoa milioni 49.2 ndani ya miaka hiyo miwili ya kuwa na...

 

11 years ago

Mtanzania

Ivo amfunika Casillas Simba

Kipa wa Simba, Ivo Mapunda

Kipa wa Simba, Ivo Mapunda

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MAKIPA wa timu ya Simba, Ivo Mapunda na Hussein Shariff ‘Casillas’, juzi wameoneshana umwamba wa kupangua mashuti yaliyokuwa yakipigwa na wachezaji wengine wa timu hiyo, huku Ivo akimfunika Casillas.

Makipa hao wanaoneshana umwamba ili kila mmoja kuipata nafasi ya kuwa kipa namba moja kwenye kikosi cha kocha, Zdravko Logarusic ‘Loga’raia wa Croatia aliyesaini mkataba wa mwaka mmoja Jumanne iliyopita.

Ivo alimfunika kipa huyo baada ya...

 

11 years ago

GPL

Mzungu rasmi atema sita Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic, amemaliza kazi ya kwanza katika kusaka nyota atakaoanza nao safari ya ubingwa katika timu hiyo, ambapo tayari amefyeka nyota sita wa kikosi hicho. Akizungumza na Championi Jumatatu, Logarusic, maarufu kwa jina na Loga, amesema kazi hiyo ya kufyeka nyota hao aliyoifanya na msaidizi wake Seleman Matola, ina lengo moja kubwa katika...

 

11 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI SIMBA: Mke wa Costa atema cheche

>Mgombea wa nafasi ya ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Jasmin Sudi amewaomba wanachama wamchague ili aendeleze soka na kurudisha heshima ya mwanamke iliyopotea katika klabu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Amissi Tambwe amhenyesha Casillas

Kama kuna mchezaji Tanzania amekuwa akiumiza kichwa kutafuta tiba ya kumfunga kipa mpya wa Simba, Hussein Sharif ‘Casillas’, asiumize kichwa tena. Amissi Tambwe ana jibu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani