Milioni 49 zamshusha Casillas Simba SC

Hussein Shariff 'Casillas' akisaini mkataba Simba SC Na Alpha Amos SIMBA imefanikiwa kumsajili kipa wa Mtibwa Sugar, Hussein Shariff, kwa kitita cha shilingi milioni 30. Shariff maarufu kwa jina la Casillas amesaini mkataba wa miaka miwili na timu hiyo, ambapo Mtibwa imepata Sh milioni 20 huku yeye akipewa milioni 20 na mshahara wa 800,000 kwa mwezi, hivyo jumla Simba itatoa milioni 49.2 ndani ya miaka hiyo miwili ya kuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Casillas atema nyongo Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KIPA wa timu ya Simba, Hussein Shariff ‘Casillas’, amesema hayupo tayari kutolewa kwa mkopo kwenda timu nyingine, huku akidai bora aache kabisa kuitumikia timu hiyo na kuwa mchezaji huru.
Cassilas amekuwa majeruhi kwa muda mrefu baada ya kuumia goti walipokuwa kambini nchini Afrika Kusini mwaka jana, hali iliyopelekea kukaa muda mrefu bila kucheza, ambapo inadaiwa uongozi wake unataka kumtoa kwa mkopo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Cassilas alisema yupo...
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Ivo amfunika Casillas Simba

Kipa wa Simba, Ivo Mapunda
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MAKIPA wa timu ya Simba, Ivo Mapunda na Hussein Shariff ‘Casillas’, juzi wameoneshana umwamba wa kupangua mashuti yaliyokuwa yakipigwa na wachezaji wengine wa timu hiyo, huku Ivo akimfunika Casillas.
Makipa hao wanaoneshana umwamba ili kila mmoja kuipata nafasi ya kuwa kipa namba moja kwenye kikosi cha kocha, Zdravko Logarusic ‘Loga’raia wa Croatia aliyesaini mkataba wa mwaka mmoja Jumanne iliyopita.
Ivo alimfunika kipa huyo baada ya...
11 years ago
GPL
Simba yampa Loga Sh milioni 13
11 years ago
Vijimambo13 Oct
Simba yateketeza milioni 150/- Sauzi

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya uongozi wa Simba, kambi hiyo ya siku 10 imelenga kukiimarisha kikosi cha timu hiyo ili kiweze kufanya vizuri katika mechi dhidi ya Yanga na...
11 years ago
GPL
Beki ataka milioni 35 asaini Simba SC
9 years ago
GPL
SIMBA YAMPA MAVUGO SH MILIONI 100
11 years ago
GPL
Milioni 42 zakamilisha usajili wa straika Simba
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Amissi Tambwe amhenyesha Casillas