Simba yateketeza milioni 150/- Sauzi
Wakati timu ya soka ya Simba leo itacheza mechi ya kirafiki ya pili ya kimataifa dhidi ya Bidvest Wits United ya Afrika Kusini kwa ajili ya kujiandaa kuivaa Yanga Oktoba 18, klabu hiyo inatarajia kutumia kiasi cha Sh. milioni 150 kugharamia kambi ya timu hiyo iliyoko jijini Johannesburg, imefahamika.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya uongozi wa Simba, kambi hiyo ya siku 10 imelenga kukiimarisha kikosi cha timu hiyo ili kiweze kufanya vizuri katika mechi dhidi ya Yanga na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Simba kunoa kucha ‘Sauzi’
TIMU ya Simba itakwenda nchini Afrika Kusini kusaka makali ya Ligi Kuu ya Bara itakayoanza Septemba 20, badala ya visiwani Zanzibar. Awali kambi ya timu hiyo ilikuwa iwe Zanzibar ambako...
5 years ago
MichuziWADAU WACHANGIA SH. MILIONI 150 KUKABILIANA NA CORONA
10 years ago
Habarileo06 Jun
Polisi yakamata kontena la nyaya za milioni 150/-
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata kontena likiwa na rola 15 za nyaya za umeme mali ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) zenye thamani ya Sh milioni 150.
9 years ago
Mwananchi16 Aug
‘Changamkieni soko la watu milioni 150 EAC’
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Ivo, Kiongera waachwa safari ya Simba Sauzi
9 years ago
Bongo527 Nov
Matonya: Vaileti iliingiza shilingi milioni 150 fasta
Staa wa muziki wa Bongo Flava, Seif ‘Matonya’ Shaaban, ameuelezea wimbo wake wa kitambo ‘Vaileti’ kuwa ndio wimbo uliompatia pesa nyingi na kwa haraka.
Akizungumza katika kipindi cha The Jump Off cha Times FM, Matonya alisema wiki kadhaa tu baada ya kuachia ngoma hiyo, alijikuta akiwa na pesa nyingi kwenye akaunti yake.
“Vaileti was crazy song kiukweli,” alisema Matonya. “Ulikuwa wimbo mkubwa sana, nilipokea simu nyingi kutoka Marekani na kwingineko, yaani ulipagawisha watu kiukweli. Sasa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vsBF-rrlwCQ/XsKbEE8tpjI/AAAAAAALqsU/8wc07i7eCvwKzumjIKQF2CZXmSHkaax2wCLcBGAsYHQ/s72-c/MGANGA.jpg)
Milioni 150 Zaboresha Miundombinu Chuo cha Michezo Malya
![](https://1.bp.blogspot.com/-vsBF-rrlwCQ/XsKbEE8tpjI/AAAAAAALqsU/8wc07i7eCvwKzumjIKQF2CZXmSHkaax2wCLcBGAsYHQ/s640/MGANGA.jpg)
Na Shamimu Nyaki - WHUSMSERIKALI imetoa takriban Milioni 150 kukarabati miundombinu ya viwanja vya michezo pamoja na ujenzi wa kisima cha maji katika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambacho ndio chuo pekee nchini kinachozalisha walimu wa sekta hiyo.
Akizungumza katika mahojiano maalumu, Mkuu wa Chuo hicho, Richard Mganga amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano cha Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli...
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Simba kunoa makali mbele ya Orlando Pirates Sauzi leo