Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Changamkieni soko la watu milioni 150 EAC’

Wafanyabishara nchini wametakiwa kuacha woga na kuchangamkia soko lenye watu milioni 150 wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ili kutanua biashara zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waziri: Changamkieni fursa EAC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuchangamkia biashara kwenye masoko ya kimataifa ili kukuza uchumi wa nchi hizo.

 

10 years ago

Vijimambo

Simba yateketeza milioni 150/- Sauzi

Wakati timu ya soka ya Simba leo itacheza mechi ya kirafiki ya pili ya kimataifa dhidi ya Bidvest Wits United ya Afrika Kusini kwa ajili ya kujiandaa kuivaa Yanga Oktoba 18, klabu hiyo inatarajia kutumia kiasi cha Sh. milioni 150 kugharamia kambi ya timu hiyo iliyoko jijini Johannesburg, imefahamika.

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya uongozi wa Simba, kambi hiyo ya siku 10 imelenga kukiimarisha kikosi cha timu hiyo ili kiweze kufanya vizuri katika mechi dhidi ya Yanga na...

 

5 years ago

Michuzi

WADAU WACHANGIA SH. MILIONI 150 KUKABILIANA NA CORONA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akipokea hundi ya Sh. 50,000,000/= kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya kuzalisha nguzo ya Qwihaya General Enterpises Co. Limited, Leonard Mahenda, ikiwa ni mchango kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mai 4, 2020. (Picha...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yakamata kontena la nyaya za milioni 150/-

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata kontena likiwa na rola 15 za nyaya za umeme mali ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) zenye thamani ya Sh milioni 150.

 

9 years ago

Bongo5

Matonya: Vaileti iliingiza shilingi milioni 150 fasta

Staa wa muziki wa Bongo Flava, Seif ‘Matonya’ Shaaban, ameuelezea wimbo wake wa kitambo ‘Vaileti’ kuwa ndio wimbo uliompatia pesa nyingi na kwa haraka.

Matonya-559x520

Akizungumza katika kipindi cha The Jump Off cha Times FM, Matonya alisema wiki kadhaa tu baada ya kuachia ngoma hiyo, alijikuta akiwa na pesa nyingi kwenye akaunti yake.

“Vaileti was crazy song kiukweli,” alisema Matonya. “Ulikuwa wimbo mkubwa sana, nilipokea simu nyingi kutoka Marekani na kwingineko, yaani ulipagawisha watu kiukweli. Sasa...

 

5 years ago

Michuzi

Milioni 150 Zaboresha Miundombinu Chuo cha Michezo Malya


Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya Bw.Richard Mganga.
Na Shamimu Nyaki - WHUSMSERIKALI imetoa takriban Milioni 150 kukarabati miundombinu ya viwanja vya michezo pamoja na ujenzi wa kisima cha maji katika Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambacho ndio chuo pekee nchini kinachozalisha walimu wa sekta hiyo.
Akizungumza katika mahojiano maalumu, Mkuu wa Chuo hicho, Richard Mganga amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano cha Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli...

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150

Ndege ya shirika la ndege la Germanwing inayofanana na ile iliyoanguka. NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu sita ikitokea jijini Barcelona nchini Uhispania kuelekea Duesseldorf, Ujerumani. Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 150 wauawa katika mkanyagano Mecca

Watu 150 waliokuwa wakishiriki sherehe za hija wamefariki kwenye mkanyagano uliotokea katika mji mtakatifu wa Kiislamu wa Mecca, maafisa nchini Saudi Arabia wamesema.

 

9 years ago

GPL

WATU ZAIDI YA 150 WAUAWA KATIKA MASHAMBULIZI PARIS, UFARANSA

Mauaji katika mghahawa wa Rue Bichat, Paris Gari la huduma ya kwanza. Walionusulika katika shambulizi lililofamyika kwenye ukumbi wa Batclan. ...Wakiokolewa. Miili ya marehemu wa mashambulizi hayo. Hali ya sintofahamu mjini paris.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani