Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150

Ndege ya shirika la ndege la Germanwing inayofanana na ile iliyoanguka. NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu sita ikitokea jijini Barcelona nchini Uhispania kuelekea Duesseldorf, Ujerumani. Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Ujerumani yaanguka nchini Ufaransa

Ndege ya shirika la ndege la Ujerumani imeanguka katika eneo la milima ya Alps nchini Ufaransa ikiwa na abiria 142 na wahudumu 6

 

10 years ago

Mwananchi

Ndege yaanguka, watu 11 wapoteza maisha

Watu 11 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya Hercules kuanguka katika uwanja mmoja wa ndege nchini Afghanistan.

 

11 years ago

Bongo5

Just In: Ndege ya Algeria iliyokuwa na watu 116 yaanguka

Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers na kuripotiwa kupotea kwenye radar mapema leo, imethibitishwa kuwa imeanguka. Msako wa kutafuta mabaki ya ndege hiyo unaendelea na ilikuwa na abiria zaidi ya 100 na wafanyakazi 6. Awali mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga ilisema ilipoteza mawasiliano na ndege […]

 

11 years ago

Bongo5

Ndege nyingine yaanguka na kuuwa watu 40 Iran

Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi ya watu Jumapili (Agosti 10) baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran. TV ya taifa ya Iran imesema watu wote 40 wamepoteza maisha katika ajali hiyo na uchunguzi umeanza kufanywa ili kubaini chanzo. Ndege hiyo iliyojulikana kwa […]

 

10 years ago

CloudsFM

NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAPOTEA IKIWA NA WATU 162

Ndege ya AirAsia, QZ8501iliyopoteza mawasiliano ikiwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore.

NDEGE ya AirAsia, QZ8501 iliyokuwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore imepoteza mawasiliano leo asubuhi.
Kati ya watu hao 162, abiria walikuwa 155, marubani 2 na wafanyakazi wa ndege hiyo 5. Watu 157 ni raia wa Indonesia, 3 raia wa Korea Kusini, 1 kutoka Malaysia na 1 raia wa Singapore.

Imeelezwa kuwa kabla ya ndege hiyo kupoteza mawasiliano, rubani aliomba kubadili uelekeo wa...

 

11 years ago

GPL

NDEGE YA ALGERIA YAPOTEZA MAWASILIANO IKIWA NA WATU 116

Ndege iliyopoteza mawasiliano inafanana na hii pichani juu. SHIRIKA la ndege la Taifa la Algeria, limesema limepoteza mawasiliano na moja kati ya ndege zake iliyokuwa ikitoka Burkinafaso kwenda Algiers kupita Sahara. Mawasiliano yalipotea dakika 50 baada ya ndege hiyo kupaa kutoka mji wa Ouagadougou, Burkinafaso shirika hilo limeeleza. Ndege namba AH 5017 ilikuwa na abiria 110 na wafanyakazi sita wa ndege hiyo. Chanzo cha habari...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ndege ya yaanguka katika eneo la makazi ya watu Pakistan

Ndege hiyo aina ya PIA jet ilianguka katika eneo la makazi ya watu ilipokua ikisafiri kutoka mji wa Lahore, ikiwa na jumla ya watu 100 ndani yake.

 

5 years ago

CCM Blog

NDEGE YAANGUKA KATIKA MENEO LA MAKAZI YA WATU PAKISTAN

Rescue workers gather at the site after a Pakistan International Airlines flight crashed in a residential neighbourhoodHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionNdege ilianguka katika eneo la makazi karibu na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jinnah katika mji wa Karachi ional Airport in the city of KarachiNdege ya Shirika la kimataifa la ndege la Pakistani -Pakistan International imeanguka katika mji wa Karachi lipokua ikitoka Lahore, maafisa wa safari za anga wamesema.Ndege hiyo Chapa PK8303, ambayo ilikua imewabeba abiria 91 na wahudumu wa ndege wanane, ilikua ikisafiri kutoka Lahore kuelekea katika...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE NDOGO YAANGUKA NA KUUA WATU WATATU NCHINI JAPAN

Watu watatu wamekufa baada ya ndege ndogo kuanguka nchini Japan, na kusababisha nyumba kadhaa kuungua moto.
Ndege hiyo ya viti vinne ilianguka baada ya kupaa ikitokea Chofu katika uwanja wa Tokyo, shirika la umma la NHK limeripoti.
Nyumba zipatazo mbili na magari mawili yaliungua moto, ambapo pia watu wawili waliokuwa kwenye ndege walikufa pamoja na mwanamke moja aliyekuwa kwenye nyumba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani