Just In: Ndege ya Algeria iliyokuwa na watu 116 yaanguka
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers na kuripotiwa kupotea kwenye radar mapema leo, imethibitishwa kuwa imeanguka. Msako wa kutafuta mabaki ya ndege hiyo unaendelea na ilikuwa na abiria zaidi ya 100 na wafanyakazi 6. Awali mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga ilisema ilipoteza mawasiliano na ndege […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
11 years ago
BBCSwahili24 Jul
Ndege ya Algeria yatoweka na watu 116
11 years ago
GPL
NDEGE YA ALGERIA YAPOTEZA MAWASILIANO IKIWA NA WATU 116
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Ripoti: Ndege ya Algeria iliyobeba watu 116 imethibitishwa kuwa imeanguka
Ndege ya shirika la Algeria iliyokuwa imebeba abiria 116 ambayo awali iliripotiwa kuwa imepoteza mawasiliano kwa zaidi ya dakika 50 imethibitishwa kuwa imeanguka.
Kwa mujibu wa Aljazeera, maafisa wa Algeria wamethibitisha kuwa ndege hiyo iliyokuwa ikisafiri kutoka Burkina Faso kwenda katika mji mkuu wa Algeria, Algiers imeanguka Kusini mwa Mali.
Maafisa wa serikali ya Ufaransa wameeleza kuwa ndege hiyo AH5017 ilipotea kwenye radar katika eneo la Mali baada ya mvua kubwa kunyesha na...
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Just In: Ndege ya Algeria yenye watu 116 yapotea angani, haionekani kwenye radar
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers imepotea kwenye radar mapema leo.
Mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga imesema imepoteza mawasiliano na ndege hiyo saa 0155 GMT, au dakika 50 baada ya kupaa. Hiyo ina maana kuwa ndege hiyo imepotea kwa saa kadhaa kabla ya habari hiyo kujulikana.
Ndege hiyo ilikuwa ikitoka Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso.
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Ndege ya Algeria yaanguka
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Ndege yaanguka, watu 11 wapoteza maisha
11 years ago
Bongo511 Aug
Ndege nyingine yaanguka na kuuwa watu 40 Iran
10 years ago
GPL
NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150