Ndege nyingine yaanguka na kuuwa watu 40 Iran
Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi ya watu Jumapili (Agosti 10) baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran. TV ya taifa ya Iran imesema watu wote 40 wamepoteza maisha katika ajali hiyo na uchunguzi umeanza kufanywa ili kubaini chanzo. Ndege hiyo iliyojulikana kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Aug
Ndege yaanguka na kuwaua abiria 40 Iran
Ndege moja iliokuwa na abiria 40 imeanguka mjini Tehran nchini Iran.
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Ndege yaanguka, watu 11 wapoteza maisha
Watu 11 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya Hercules kuanguka katika uwanja mmoja wa ndege nchini Afghanistan.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBuYd3JLPfVeR*rwCX*QWNccWNxS*sryCMGCxEYnuV7f9eKLRmGs8jRx6HN9Dz6DXH6vzootDsLQPYkh4eVh1vCA/GermanWings1.jpg?width=650)
NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150
Ndege ya shirika la ndege la Germanwing inayofanana na ile iliyoanguka. NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu sita ikitokea jijini Barcelona nchini Uhispania kuelekea Duesseldorf, Ujerumani. Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings...
11 years ago
Bongo524 Jul
Just In: Ndege ya Algeria iliyokuwa na watu 116 yaanguka
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers na kuripotiwa kupotea kwenye radar mapema leo, imethibitishwa kuwa imeanguka. Msako wa kutafuta mabaki ya ndege hiyo unaendelea na ilikuwa na abiria zaidi ya 100 na wafanyakazi 6. Awali mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga ilisema ilipoteza mawasiliano na ndege […]
5 years ago
CCM Blog22 May
NDEGE YAANGUKA KATIKA MENEO LA MAKAZI YA WATU PAKISTAN
![Rescue workers gather at the site after a Pakistan International Airlines flight crashed in a residential neighbourhood](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/A8E9/production/_112414234_061583193-1.jpg)
5 years ago
BBCSwahili22 May
Ndege ya yaanguka katika eneo la makazi ya watu Pakistan
Ndege hiyo aina ya PIA jet ilianguka katika eneo la makazi ya watu ilipokua ikisafiri kutoka mji wa Lahore, ikiwa na jumla ya watu 100 ndani yake.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-tA0TEbnSiG8/VbSz0KW5__I/AAAAAAABDoc/9xGlmTMIkKQ/s72-c/To.jpg)
NDEGE NDOGO YAANGUKA NA KUUA WATU WATATU NCHINI JAPAN
![](http://1.bp.blogspot.com/-tA0TEbnSiG8/VbSz0KW5__I/AAAAAAABDoc/9xGlmTMIkKQ/s640/To.jpg)
Ndege hiyo ya viti vinne ilianguka baada ya kupaa ikitokea Chofu katika uwanja wa Tokyo, shirika la umma la NHK limeripoti.
Nyumba zipatazo mbili na magari mawili yaliungua moto, ambapo pia watu wawili waliokuwa kwenye ndege walikufa pamoja na mwanamke moja aliyekuwa kwenye nyumba.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria (Air Algerie) iliyopoteza mawasiliano ya Rada katika anga la Mali mapema leo ikiwa na abiria 116 na watumishi sita imeanguka, Shirika la Habari la Reuters linaripoti.
10 years ago
BBCSwahili28 May
IS yadaiwa kuuwa watu 20 Palmyra
Wanaharakati nchini Syria, wanasema kuwa wanamgambo wa Islamic State, wametumia ukumbi wa zamani Palmyra, kutekeleza mauwaji ya wafungwa 20.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania