NDEGE NDOGO YAANGUKA NA KUUA WATU WATATU NCHINI JAPAN
Watu watatu wamekufa baada ya ndege ndogo kuanguka nchini Japan, na kusababisha nyumba kadhaa kuungua moto.
Ndege hiyo ya viti vinne ilianguka baada ya kupaa ikitokea Chofu katika uwanja wa Tokyo, shirika la umma la NHK limeripoti.
Nyumba zipatazo mbili na magari mawili yaliungua moto, ambapo pia watu wawili waliokuwa kwenye ndege walikufa pamoja na mwanamke moja aliyekuwa kwenye nyumba.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLNDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA AFGHANISTAN NA KUUA 12
Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules iliyoanguka. Ramani inayoonesha eneo ambapo ndege hiyo ilipata ajali. Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules imeanguka usiku wa leo katika Uwanja wa Ndege wa Jalalabad nchini Afghanistan na kuua watu 12. Kanali wa jeshi la Marekani Brian Tribus ameiambia AFP kwamba watao kati ya waliokufa walikuwa wanajeshi wa Marekani, watano walikuwa raia wa… ...
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Ndege yaanguka, watu 11 wapoteza maisha
Watu 11 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya Hercules kuanguka katika uwanja mmoja wa ndege nchini Afghanistan.
10 years ago
GPLNDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150
Ndege ya shirika la ndege la Germanwing inayofanana na ile iliyoanguka. NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu sita ikitokea jijini Barcelona nchini Uhispania kuelekea Duesseldorf, Ujerumani. Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings...
11 years ago
Bongo511 Aug
Ndege nyingine yaanguka na kuuwa watu 40 Iran
Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi ya watu Jumapili (Agosti 10) baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran. TV ya taifa ya Iran imesema watu wote 40 wamepoteza maisha katika ajali hiyo na uchunguzi umeanza kufanywa ili kubaini chanzo. Ndege hiyo iliyojulikana kwa […]
11 years ago
Bongo524 Jul
Just In: Ndege ya Algeria iliyokuwa na watu 116 yaanguka
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers na kuripotiwa kupotea kwenye radar mapema leo, imethibitishwa kuwa imeanguka. Msako wa kutafuta mabaki ya ndege hiyo unaendelea na ilikuwa na abiria zaidi ya 100 na wafanyakazi 6. Awali mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga ilisema ilipoteza mawasiliano na ndege […]
5 years ago
CCM Blog22 May
NDEGE YAANGUKA KATIKA MENEO LA MAKAZI YA WATU PAKISTAN
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionNdege ilianguka katika eneo la makazi karibu na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jinnah katika mji wa Karachi ional Airport in the city of KarachiNdege ya Shirika la kimataifa la ndege la Pakistani -Pakistan International imeanguka katika mji wa Karachi lipokua ikitoka Lahore, maafisa wa safari za anga wamesema.Ndege hiyo Chapa PK8303, ambayo ilikua imewabeba abiria 91 na wahudumu wa ndege wanane, ilikua ikisafiri kutoka Lahore kuelekea katika...
5 years ago
BBCSwahili22 May
Ndege ya yaanguka katika eneo la makazi ya watu Pakistan
Ndege hiyo aina ya PIA jet ilianguka katika eneo la makazi ya watu ilipokua ikisafiri kutoka mji wa Lahore, ikiwa na jumla ya watu 100 ndani yake.
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Ndege ya Ujerumani yaanguka nchini Ufaransa
Ndege ya shirika la ndege la Ujerumani imeanguka katika eneo la milima ya Alps nchini Ufaransa ikiwa na abiria 142 na wahudumu 6
10 years ago
GPLNDEGE YA TAIWAN YAANGUKIA MTONI NA KUUA WATU 12
Waokoaji wakinasua watu waliokuwa ndani ya ndege hiyo. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. Ndege inayoimilikiwa na Shirika la Ndege la Taiwan, la TransAsia imepata ajali na kuangukia kwenye mto katika mji mkuu, Taipei na kuua watu 12. Vyombo vya habari vya Taiwan vimesema watu zaidi ya 50 walikuwa ndani ya ndege hiyo, wakati ajali ilipotokea na idadi kubwa ya watu wameripotiwa kujeruhiwa. Shirika la… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania