NDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA AFGHANISTAN NA KUUA 12
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/ccvv.jpg)
Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules iliyoanguka. Ramani inayoonesha eneo ambapo ndege hiyo ilipata ajali. Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules imeanguka usiku wa leo katika Uwanja wa Ndege wa Jalalabad nchini Afghanistan na kuua watu 12. Kanali wa jeshi la Marekani Brian Tribus ameiambia AFP kwamba watao kati ya waliokufa walikuwa wanajeshi wa Marekani, watano walikuwa raia wa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-tA0TEbnSiG8/VbSz0KW5__I/AAAAAAABDoc/9xGlmTMIkKQ/s72-c/To.jpg)
NDEGE NDOGO YAANGUKA NA KUUA WATU WATATU NCHINI JAPAN
![](http://1.bp.blogspot.com/-tA0TEbnSiG8/VbSz0KW5__I/AAAAAAABDoc/9xGlmTMIkKQ/s640/To.jpg)
Ndege hiyo ya viti vinne ilianguka baada ya kupaa ikitokea Chofu katika uwanja wa Tokyo, shirika la umma la NHK limeripoti.
Nyumba zipatazo mbili na magari mawili yaliungua moto, ambapo pia watu wawili waliokuwa kwenye ndege walikufa pamoja na mwanamke moja aliyekuwa kwenye nyumba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/db4JtL*UowEvPbie2S2EOxumcHCqRYD31ZGOdXWEDeAUXLD6fhBb2BmZCCW64Cg9KIKE*cg8VNRybQFuJZuxHI35bYuqCHCA/mwanza1.jpg)
NDEGE YA JESHI YAANGUKA MWANZA, RUBANI ANUSURIKA
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
5 years ago
BBCSwahili18 May
Atlas V rocket: Jeshi la Marekani lapeleka ndege ya siri katika anga za juu
10 years ago
Habarileo02 Sep
Ndege yaanguka Serengeti
UCHUNGUZI wa awali kuhusu kupotea kwa ndege ya mizigo ya Shirika la Safari Express ya nchini Kenya, umeonesha kuwa ndege hiyo yenye usajili namba 5Y SXP, aina ya Fokker 27, imepata ajali.
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Ndege ya Algeria yaanguka
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Ndege ya Kenya yaanguka Tanzania
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Ndege ya JWTZ yaanguka baharini
Na Aziaza Masoud, DAR ES SALAAM
MARUBANI wawili wa kikosi cha jeshi la anga wamefariki baada ya ndege ya mafunzo ya Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kupata hitilafu na kuanguka eneo la Silversands Msasani katika kisiwa cha Mbudya, Dar es Salaam.
Taarifa za kuanguka kwa ndege hiyo zilianza kusambaa kupitia mitandao ya jamii jana asubuhi zikieleza kuwa wavuvi walikuwa wa kwanza kutambua ajali hiyo baada ya kuona kofia ngumu.
Akizungumza na Mtanzania Dar es Salaam jana, Mkurugenzi...
10 years ago
CloudsFM31 Oct
NDEGE YAANGUKA YAWAKA MOTO
Mamlaka ya uwanja wa ndege imethibitisha kutokea kwa ajali ya ndege moja ambayo imegonga jengo la kuongozea ndege katika uwanja wa Wichita, Kansas Marekani.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema ndege hiyo imepata ajali hiyo muda mfupi uliopita ambapo iligonga jengo hilo na kuwaacha takribani watu kumi wakiwa wamenasa ndani ya jengo na haijafahamika bado kuhusiana na hali zao.
Hakuna taarifa zinazoelezea kuhusiana na ukubwa wa ndege hiyo wala idadi ya watu waliokuwamo ndani. Picha zilizoenea...