NDEGE YA JESHI YAANGUKA MWANZA, RUBANI ANUSURIKA

Muonekano wa ndege ya ndege ya jeshi baada ya kuanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza.(Picha na Mtandao) NDEGE ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kusambaratika wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu. Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya injini za ndege… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Ndege ya JWTZ yaanguka, rubani wake ajiokoa kwa parachuti
10 years ago
Mtanzania28 Feb
Ndege ya JWTZ yaanguka Mwanza
Na Mwandishi Wetu,
NDEGE ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) imeanguka jana katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kijeshi wa Mwanza wakati ikifanya mazoezi.
Akitoa taarifa za kuanguka kwa ndege hiyo katika Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo Dar es Salaam jana, Msemaji wa JWTZ, Joseph Masanja, alisema ndege za kivita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida na wakati rubani wake, Meja Peter Lyamunda, akijiandaa kuruka, ndipo ndege mnyama akaingia katika moja ya injini na...
10 years ago
GPL
NDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA AFGHANISTAN NA KUUA 12
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Ndege ya Algeria yaanguka
11 years ago
Habarileo02 Sep
Ndege yaanguka Serengeti
UCHUNGUZI wa awali kuhusu kupotea kwa ndege ya mizigo ya Shirika la Safari Express ya nchini Kenya, umeonesha kuwa ndege hiyo yenye usajili namba 5Y SXP, aina ya Fokker 27, imepata ajali.
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
‘Ndege haziendeshwi na rubani mmoja’
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuwa sio ndege zote zinazoruka ndani ya nchi huendeshwa na rubani mmoja. Imesema ndege kubwa za abiria zinazotoa huduma ya usafiri kwa ratiba ndani ya nchi, lazima...
10 years ago
BBCSwahili08 May
Utumizi wa ndege zisizo na rubani US