Ndege ya JWTZ yaanguka baharini
Na Aziaza Masoud, DAR ES SALAAM
MARUBANI wawili wa kikosi cha jeshi la anga wamefariki baada ya ndege ya mafunzo ya Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kupata hitilafu na kuanguka eneo la Silversands Msasani katika kisiwa cha Mbudya, Dar es Salaam.
Taarifa za kuanguka kwa ndege hiyo zilianza kusambaa kupitia mitandao ya jamii jana asubuhi zikieleza kuwa wavuvi walikuwa wa kwanza kutambua ajali hiyo baada ya kuona kofia ngumu.
Akizungumza na Mtanzania Dar es Salaam jana, Mkurugenzi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Feb
Ndege ya JWTZ yaanguka Mwanza
Na Mwandishi Wetu,
NDEGE ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) imeanguka jana katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kijeshi wa Mwanza wakati ikifanya mazoezi.
Akitoa taarifa za kuanguka kwa ndege hiyo katika Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo Dar es Salaam jana, Msemaji wa JWTZ, Joseph Masanja, alisema ndege za kivita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida na wakati rubani wake, Meja Peter Lyamunda, akijiandaa kuruka, ndipo ndege mnyama akaingia katika moja ya injini na...
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Ndege ya JWTZ yaanguka, marubani wapotea
9 years ago
Habarileo02 Oct
Ndege JWTZ yaangukia baharini, marubani wapotea
MARUBANI wawili wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wanahofiwa kufa maji baada ya ndege yao ya mazoezi, kuangukia katika mwambao wa Bahari ya Hindi eneo la Visiwa vya Mbudya, Kaskazini Mashariki mwa Jiji la Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Ndege ya JWTZ yaanguka, rubani wake ajiokoa kwa parachuti
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
10 years ago
Habarileo02 Sep
Ndege yaanguka Serengeti
UCHUNGUZI wa awali kuhusu kupotea kwa ndege ya mizigo ya Shirika la Safari Express ya nchini Kenya, umeonesha kuwa ndege hiyo yenye usajili namba 5Y SXP, aina ya Fokker 27, imepata ajali.
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Ndege ya Algeria yaanguka
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Ndege ya kijeshi yaanguka Nigeria
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Ndege yaanguka mbugani Serengeti
NDEGE ya mizigo ya nchini Kenya iliyokuwa inatokea Mwanza kwenda Nairobi imeanguka baada ya kupoteza mawasiliano na mnara wa kuongozea (Control tower), na mabaki yake kuonekana katika eneo la mbugani ...