Ndege yaanguka mbugani Serengeti
NDEGE ya mizigo ya nchini Kenya iliyokuwa inatokea Mwanza kwenda Nairobi imeanguka baada ya kupoteza mawasiliano na mnara wa kuongozea (Control tower), na mabaki yake kuonekana katika eneo la mbugani ...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Sep
Ndege yaanguka Serengeti
UCHUNGUZI wa awali kuhusu kupotea kwa ndege ya mizigo ya Shirika la Safari Express ya nchini Kenya, umeonesha kuwa ndege hiyo yenye usajili namba 5Y SXP, aina ya Fokker 27, imepata ajali.
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
Mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa Mbugani” wa kampeni ya Tutoke na Serengeti akila bata ndani ya hifadhi ya Serengeti
Mshindi wa mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale (Kulia) akiwa na kaka yake Bw.Joshua Robert Moriale (Kushoto) walipowasili mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha tayari kwa kuanza safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti kwa...
10 years ago
Dewji Blog30 Jan
Mshindi wa pili “Mtoko wa Mbugani” akivinjari ndani ya hifadhi ya Serengeti
Mshindi wa pili wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Deogratias Peter Mbogole (kushoto) akiwa na rafiki yake Goodluck Shirima(kulia) ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku mbili ndani ya hifadhi hiyo…Hapa ni Tarangire river view waliposimama kujionea kundi kubwa la tembo wakivuka barabara. Deo aliibuka mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano linaloendelea la “Tutoke na Serengeti” linaloendeshwa na SBL kwa ushirikino na BPESA.
Mshindi wa mtoko wa...
10 years ago
Dewji Blog28 Dec
Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti akifurahia wikiendi mbugani
Mshindi wa kwanza wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Hassan Mfaume akiwa na rafiki yake kipenzi, Mohamedi Ally walipowasili katika hifadhi ya taifa ya Serengeti tayari kufurahia wikiendi yao kwa kutalii sehemu mbalimbali za hifadhi hiyo maarufu duniani. Safari hii inagharamiwa na Kampuni ya bia ya Serengeti.
Bw. Hassan na rafiki yake wakiwa ndani ya gari baada ya kuanza safari yao ya utalii ndani ya mbuga mashuhuri ya Serengeti mkoani Mara.
Hassan na rafiki yake wakipozi kwa ajili...
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
Mkazi wa Korogwe, Tanga aibuka mshindi wa mtoko wa Mbugani kwenye fainali ya kampeni “Tutoke na Serengeti”
Meneja chapa wa bia ya Serengeti Premium, Bw.Rugambo Rodney (wa pili kulia), akionyesha namba ya simu ya mshindi wa mwisho wa shindano la Tutoke na Serengeti, ambapo Bw. Robert Gabriel mkazi wa Korogwe, Tanga aliibuka mshindi.Msimamizi toka PWC, Golder Kamuzora na (wa pili kulia), Afisa mwandamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha,Bw. Jehud Ngolo (wa kwanza kushoto) Afisa Mauzo toka SBL, Anitha Moshi, (wa kwanza kulia). Droo hiyo iliyofanyika katika baa ya Hongera jijini Dar es salaam.
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Ndege ya Algeria yaanguka
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Ndege ya kijeshi yaanguka Nigeria
10 years ago
Mtanzania02 Oct
Ndege ya JWTZ yaanguka baharini
Na Aziaza Masoud, DAR ES SALAAM
MARUBANI wawili wa kikosi cha jeshi la anga wamefariki baada ya ndege ya mafunzo ya Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kupata hitilafu na kuanguka eneo la Silversands Msasani katika kisiwa cha Mbudya, Dar es Salaam.
Taarifa za kuanguka kwa ndege hiyo zilianza kusambaa kupitia mitandao ya jamii jana asubuhi zikieleza kuwa wavuvi walikuwa wa kwanza kutambua ajali hiyo baada ya kuona kofia ngumu.
Akizungumza na Mtanzania Dar es Salaam jana, Mkurugenzi...