Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege ya yaanguka katika eneo la makazi ya watu Pakistan

Ndege hiyo aina ya PIA jet ilianguka katika eneo la makazi ya watu ilipokua ikisafiri kutoka mji wa Lahore, ikiwa na jumla ya watu 100 ndani yake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NDEGE YAANGUKA KATIKA MENEO LA MAKAZI YA WATU PAKISTAN

Rescue workers gather at the site after a Pakistan International Airlines flight crashed in a residential neighbourhoodHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionNdege ilianguka katika eneo la makazi karibu na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jinnah katika mji wa Karachi ional Airport in the city of KarachiNdege ya Shirika la kimataifa la ndege la Pakistani -Pakistan International imeanguka katika mji wa Karachi lipokua ikitoka Lahore, maafisa wa safari za anga wamesema.Ndege hiyo Chapa PK8303, ambayo ilikua imewabeba abiria 91 na wahudumu wa ndege wanane, ilikua ikisafiri kutoka Lahore kuelekea katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria (Air Algerie) iliyopoteza mawasiliano ya Rada katika anga la Mali mapema leo ikiwa na abiria 116 na watumishi sita imeanguka, Shirika la Habari la Reuters linaripoti.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndege yaanguka, watu 11 wapoteza maisha

Watu 11 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya Hercules kuanguka katika uwanja mmoja wa ndege nchini Afghanistan.

 

11 years ago

Bongo5

Just In: Ndege ya Algeria iliyokuwa na watu 116 yaanguka

Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers na kuripotiwa kupotea kwenye radar mapema leo, imethibitishwa kuwa imeanguka. Msako wa kutafuta mabaki ya ndege hiyo unaendelea na ilikuwa na abiria zaidi ya 100 na wafanyakazi 6. Awali mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga ilisema ilipoteza mawasiliano na ndege […]

 

11 years ago

Bongo5

Ndege nyingine yaanguka na kuuwa watu 40 Iran

Ndege inayomilikiwa na kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi ya watu Jumapili (Agosti 10) baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran. TV ya taifa ya Iran imesema watu wote 40 wamepoteza maisha katika ajali hiyo na uchunguzi umeanza kufanywa ili kubaini chanzo. Ndege hiyo iliyojulikana kwa […]

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA IKIWA NA WATU 150

Ndege ya shirika la ndege la Germanwing inayofanana na ile iliyoanguka. NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na wahudumu sita ikitokea jijini Barcelona nchini Uhispania kuelekea Duesseldorf, Ujerumani. Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE NDOGO YAANGUKA NA KUUA WATU WATATU NCHINI JAPAN

Watu watatu wamekufa baada ya ndege ndogo kuanguka nchini Japan, na kusababisha nyumba kadhaa kuungua moto.
Ndege hiyo ya viti vinne ilianguka baada ya kupaa ikitokea Chofu katika uwanja wa Tokyo, shirika la umma la NHK limeripoti.
Nyumba zipatazo mbili na magari mawili yaliungua moto, ambapo pia watu wawili waliokuwa kwenye ndege walikufa pamoja na mwanamke moja aliyekuwa kwenye nyumba.

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ENEO LA MAKAZI WATU MNYAMANI BUGURUNI JIJINI DAR

 Mazingira ya Pembezoni mwa Reli ya Mitaa ya Mnyamani Buguruni jijini Dar es Salaam ikiwa Dampo lipo hapo pamoja na mkusanyiko wa maji kwa sababu hayana kwa kuelekea. Wakazi wa maeneo haya wako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na maji yaliyotuama maeneo haya. Inawezekana kuwa na kiwanda cha uzalishaji wa Mbu na magonjwa ya mlipuko nkatika eneo la Mnyamani Buguruni bila shaka..... Maisha yanaenda ikiwa ni hatari endapo usafiri wa eneo hili wanapopita wananchi. Hii ni kwa usalama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ofisi ya taifa ya takwimu yasambaza matokeo ya Sensa wa watu na makazi ya mwaka 2012 katika mkoa wa Dodoma

USAMBAZAJI DODOMA 1

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akielezea umuhimu wa kufanya Semina  ya Usambazaji wa  Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma. USAMBAZAJI DODOMA 2 Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akitoa maelezo mafupi kuhusu Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma. USAMBAZAJI DODOMA 3

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani