TASWIRA MBALIMBALI ENEO LA MAKAZI WATU MNYAMANI BUGURUNI JIJINI DAR
Mazingira ya Pembezoni mwa Reli ya Mitaa ya Mnyamani Buguruni jijini Dar es Salaam ikiwa Dampo lipo hapo pamoja na mkusanyiko wa maji kwa sababu hayana kwa kuelekea. Wakazi wa maeneo haya wako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na maji yaliyotuama maeneo haya. Inawezekana kuwa na kiwanda cha uzalishaji wa Mbu na magonjwa ya mlipuko nkatika eneo la Mnyamani Buguruni bila shaka..... Maisha yanaenda ikiwa ni hatari endapo usafiri wa eneo hili wanapopita wananchi. Hii ni kwa usalama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi24 Mar
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA ENEO LA BUGURUNI KWA MNYAMANI LILILOATHIRIKA NA MAFURIKO
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati alipotembelea eneo la Buguruni kwa Mnyamani leo Machi 23, 2015 kwa ajili ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendele kunyesha jijini Dar es Salaam. Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati...
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziTASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR
9 years ago
MichuziTASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR LEO
9 years ago
MichuziTASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
MichuziTaswira mbalimbali katika maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam leo
9 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AITEMBELEA NA KUIFARIJI FAMILIA ILIYOPOTEZA WATU TISA KATIKA AJALI YA MOTO BUGURUNI JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
VijimamboNHC YAZIDI KUPANUA MIRADI, PINDA AZINDUA JENGO LINGINE LA MAKAZI NHC PALACE ENEO LA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM