Ripoti: Ndege ya Algeria iliyobeba watu 116 imethibitishwa kuwa imeanguka
Ndege ya shirika la Algeria iliyokuwa imebeba abiria 116 ambayo awali iliripotiwa kuwa imepoteza mawasiliano kwa zaidi ya dakika 50 imethibitishwa kuwa imeanguka.
Kwa mujibu wa Aljazeera, maafisa wa Algeria wamethibitisha kuwa ndege hiyo iliyokuwa ikisafiri kutoka Burkina Faso kwenda katika mji mkuu wa Algeria, Algiers imeanguka Kusini mwa Mali.
Maafisa wa serikali ya Ufaransa wameeleza kuwa ndege hiyo AH5017 ilipotea kwenye radar katika eneo la Mali baada ya mvua kubwa kunyesha na...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Jul
Ndege ya Algeria yatoweka na watu 116
11 years ago
Bongo524 Jul
Just In: Ndege ya Algeria iliyokuwa na watu 116 yaanguka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfA-ZOdajs*3eEwsoOs2ZTmX2oh8h*cX4B9pqnmdlnzR*3VEOh41n9cV1RiIInvz8WArDnDjMDQ9B85cvhhDhZWf/NDEGEE.jpg)
NDEGE YA ALGERIA YAPOTEZA MAWASILIANO IKIWA NA WATU 116
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Just In: Ndege ya Algeria yenye watu 116 yapotea angani, haionekani kwenye radar
Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers imepotea kwenye radar mapema leo.
Mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga imesema imepoteza mawasiliano na ndege hiyo saa 0155 GMT, au dakika 50 baada ya kupaa. Hiyo ina maana kuwa ndege hiyo imepotea kwa saa kadhaa kabla ya habari hiyo kujulikana.
Ndege hiyo ilikuwa ikitoka Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116
11 years ago
TheCitizen24 Jul
Missing Algeria flight ‘crashes’ with 116 on board
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Ndege iliyobeba silaha yakamatwa Nigeria
11 years ago
Bongo518 Jul
Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani yalazimika kutua kwa dharura barabarani Uganda
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Ebosse:Algeria yapinga ripoti ya mauaji