Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yampa Loga Sh milioni 13

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
SIMBA ilimlipa Kocha Zdravko Logarusic kitita cha dola 8,000 (Sh milioni 13), siku moja kabla ya kuondoka nchini.
Simba ilitoa fedha hizo ikiwa ni sehemu ya kutimiza masharti ya Logarusic ambaye sasa yupo nyumbani kwao Croatia kwa ajili ya mapumziko.
Katika mazungumzo ya mwisho kabla ya kuondoka nchini, imeelezwa Logarusic aliueleza uongozi wa Simba kuwa,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SIMBA YAMPA MAVUGO SH MILIONI 100

Straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit Mavugo. SIMBA haitaki mchezo kabisa katika kujenga kikosi chake, kwani imetenga kiasi cha dau la dola 50,000 ambazo ni zaidi ya Sh milioni 100 ili iweze kumsajili straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit Mavugo. Laudit Mavugo (kushoto) akifanya yake.
Nguvu yote hiyo imewekwa na Simba kuhakikisha Mavugo anatua kikosini kwao aungane na Hamis Kiiza kuipa nguvu safu ya ushambuliaji...

 

11 years ago

GPL

Yanga yampa Twite milioni 40

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefanikisha usajili wa beki wake kiraka Mbuyu Twite kwa dau la dola milioni 25 (sawa na shilingi milioni 40). Kiraka huyo juzi Jumatatu alisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuichezea timu hiyo itakayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika  na Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa beki huyo, wamefikia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga mabadiliko makubwa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...

 

11 years ago

GPL

Loga asajili wachezaji 25 Simba SC

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, ameutaka uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi kusajili wachezaji 25 tu msimu ujao wa ligi kuu ambapo amependekeza kuwa na makipa watatu.
Loga amekabidhi ripoti yake hivi karibuni kabla ya kwenda nchini kwao Croatia kwenye mapumziko huku akisubiri majibu iwapo ataitwa kuendelea na timu hiyo au la ambapo mkataba wake unaisha Juni,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awavutia pumzi Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Zradvic Logarusic, amesema hatorudi nchini hadi uchaguzi mkuu wa klabu hiyo wa Juni 29 utakapofanyika, hivyo kuwepo kwa uongozi wa kufanya nao mazungumzo. Kupitia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awakaribisha nyota wa Simba B

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, ametoa ofa kwa nyota wa kikosi B, kupandishwa hadi kikosi cha kwanza kama  wataonyesha uwezo mkubwa kisoka. Loga amesema ameamua kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga akubali yaishe Simba

KOCHA Mkuu wa  Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...

 

11 years ago

GPL

Wachezaji: Hatumtaki Loga Simba

Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na John Joseph
TABIA ya ukali uliopitiliza, kutoa lugha kali inawezekana ikawa ni chanzo cha Kocha Zdravko Logarusic kuendelea kukwaruzana na wachezaji wake, ambapo sasa habari kamili ni kuwa, wengi wao hawana amani wanapocheza chini ya kocha huyo. Zdravko Logarusic akiwa na wachezaji wake. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa Loga… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga: Hakuna mwenye namba Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Logarusic Zdravko, amewataka nyota wake kujituma katika mazoezi kuwa fiti zaidi ili kupata namba katika kikosi cha kwanza akisema haoni mwenye uhakika wa namba. Loga aliyejipambanua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani