Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Loga awavutia pumzi Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Zradvic Logarusic, amesema hatorudi nchini hadi uchaguzi mkuu wa klabu hiyo wa Juni 29 utakapofanyika, hivyo kuwepo kwa uongozi wa kufanya nao mazungumzo. Kupitia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli awavutia pumzi wabadhirifu

Pg 1 magufuli*Awataka wezi wa fedha za wakulima waanze kutubu

Na Bakari Kimwanga, Sikonge

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewaonya watu wanaofanya uwakala wa kuwaibia wakulima wa tumbaku na kuwataka waanze kutubu kabla hajaingia Ikulu.

Amesema watu hao, wamekuwa wakifanyakazi ya kujinufaisha wao, huku wakulima wa zao hilo wakibaki masikini wa kutupwa.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana  katika mikutano ya kampeni aliyoifanya katika wilaya za...

 

11 years ago

GPL

Loga asajili wachezaji 25 Simba SC

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, ameutaka uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi kusajili wachezaji 25 tu msimu ujao wa ligi kuu ambapo amependekeza kuwa na makipa watatu.
Loga amekabidhi ripoti yake hivi karibuni kabla ya kwenda nchini kwao Croatia kwenye mapumziko huku akisubiri majibu iwapo ataitwa kuendelea na timu hiyo au la ambapo mkataba wake unaisha Juni,...

 

11 years ago

GPL

Wachezaji: Hatumtaki Loga Simba

Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na John Joseph
TABIA ya ukali uliopitiliza, kutoa lugha kali inawezekana ikawa ni chanzo cha Kocha Zdravko Logarusic kuendelea kukwaruzana na wachezaji wake, ambapo sasa habari kamili ni kuwa, wengi wao hawana amani wanapocheza chini ya kocha huyo. Zdravko Logarusic akiwa na wachezaji wake. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa Loga… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga akubali yaishe Simba

KOCHA Mkuu wa  Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awakaribisha nyota wa Simba B

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, ametoa ofa kwa nyota wa kikosi B, kupandishwa hadi kikosi cha kwanza kama  wataonyesha uwezo mkubwa kisoka. Loga amesema ameamua kufanya...

 

11 years ago

GPL

Simba yampa Loga Sh milioni 13

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
SIMBA ilimlipa Kocha Zdravko Logarusic kitita cha dola 8,000 (Sh milioni 13), siku moja kabla ya kuondoka nchini.
Simba ilitoa fedha hizo ikiwa ni sehemu ya kutimiza masharti ya Logarusic ambaye sasa yupo nyumbani kwao Croatia kwa ajili ya mapumziko.
Katika mazungumzo ya mwisho kabla ya kuondoka nchini, imeelezwa Logarusic aliueleza uongozi wa Simba kuwa,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga mabadiliko makubwa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...

 

11 years ago

GPL

Loga awarudisha Boban, Kisiga Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, Sweetbert Lukonge na Nassor Gallu
SIMBA ipo katika hatua za mwisho kuwasainisha mikataba mifupi viungo wakongwe nchini, Haruna Moshi ‘Boban’ na Shabani Kisiga ‘Maron’. Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema anataka viungo wawili wazoefu na si wale ambao wanataka kujifunza.Loga, raia wa Croatia, amesisitiza anataka wachezaji wa kazi ambao watamsaidia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani