Loga asajili wachezaji 25 Simba SC
![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpH-b8Zi9Jz9bx-Tp0yh4qrLZ1JkpLH7mdB0zRkvItBqVSS-AHGaG5NMeBgFQJt3xKbP82rFt2lRR9HlqiM81lBg/LOGA.gif?width=600)
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, ameutaka uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi kusajili wachezaji 25 tu msimu ujao wa ligi kuu ambapo amependekeza kuwa na makipa watatu. Loga amekabidhi ripoti yake hivi karibuni kabla ya kwenda nchini kwao Croatia kwenye mapumziko huku akisubiri majibu iwapo ataitwa kuendelea na timu hiyo au la ambapo mkataba wake unaisha Juni,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R8oVj2rEQAqZHKnFXeQCM14-uiy8s3lJ55RyyPJ6CGo0CXsA0NeTFaM05FBSi-AJSTfVzi5lHzMTkKBQ8RLx0VG/Logarusic.jpg?width=600)
Wachezaji: Hatumtaki Loga Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YWMj-J29SNyPmUSD7JGRldqJ1l17MgHrhgVCw-Y*4y3w95kaBffVgLoGk2Vg-VfeISkUGef3SxUU-MGPcnqjg9sI2aZH-Iur/LOGA.jpg?width=650)
Loga asajili watano wa timu za taifa
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Loga mabadiliko makubwa Simba
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Loga akubali yaishe Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yhm*M4-7190*Y2J1KNoTFoQPPVqpqI3wAZQGTxtdOmbodkG6uf9RppUbfDHNRpxcmtc7940tj64OYdZL5qOuRX*/44.gif?width=600)
Simba yampa Loga Sh milioni 13
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Loga awavutia pumzi Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Zradvic Logarusic, amesema hatorudi nchini hadi uchaguzi mkuu wa klabu hiyo wa Juni 29 utakapofanyika, hivyo kuwepo kwa uongozi wa kufanya nao mazungumzo. Kupitia...
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Loga awakaribisha nyota wa Simba B
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, ametoa ofa kwa nyota wa kikosi B, kupandishwa hadi kikosi cha kwanza kama wataonyesha uwezo mkubwa kisoka. Loga amesema ameamua kufanya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqqKp6SZUtc30hgwSPkGUKduCHQyLazN9K-JvL6SOkedbU8LCpiW6NKnyvNKZMkAMR2ssKHcMHjHWIkgzxane6I7/simba.jpg?width=650)
SIMBA YAMZUIA LOGA KURUDI KWAO
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Loga: Hakuna mwenye namba Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Logarusic Zdravko, amewataka nyota wake kujituma katika mazoezi kuwa fiti zaidi ili kupata namba katika kikosi cha kwanza akisema haoni mwenye uhakika wa namba. Loga aliyejipambanua...