Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Loga asajili watano wa timu za taifa

Kocha Zdravko Logarusic. Na Martha Mboma
KOCHA Zdravko Logarusic amesema anataka Simba kusajili wachezaji watano wa kimataifa ambao watakuwa wanacheza kwenye timu za taifa na si vinginevyo. Akizungumza kutokea katika mji ulio kilomita 400 kutoka Jiji la Zagreb, Croatia, Loga aliliambia Championi Ijumaa kuwa, wachezaji watano wa kulipwa wa Simba, kila mmoja anapaswa kuwa katika kikosi cha timu yake ya taifa. “Lengo la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Loga asajili wachezaji 25 Simba SC

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, ameutaka uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi kusajili wachezaji 25 tu msimu ujao wa ligi kuu ambapo amependekeza kuwa na makipa watatu.
Loga amekabidhi ripoti yake hivi karibuni kabla ya kwenda nchini kwao Croatia kwenye mapumziko huku akisubiri majibu iwapo ataitwa kuendelea na timu hiyo au la ambapo mkataba wake unaisha Juni,...

 

11 years ago

GPL

Kocha Loga aacha timu, ajifua mwenyewe

Na Martha Mboma
KATIKA hali ya kufurahisha na ambayo haijazoeleka hapa nchini, juzi kocha wa Simba aliacha kuwafundisha wachezaji wake na kufanya mazoezi mwenyewe. Mazoezi ya Simba ambayo yalikuwa yanafanyika kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar es Salaam, yalisimamiwa na kocha msaidizi, Selemani Matola, huku Loga akifanya yake mwenyewe pembeni mwa uwanja. Championi lilishuhudia tukio hilo wakati timu hiyo ikiwa katika mazoezi...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.

"Uzalendo kwanza" Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangilia  Mshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa. Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars,Amri Kiemba akiipatia timu yake bao la pili katika Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA MCHEZO WA CHESS YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KWENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA NCHINI NORWAY

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (kulia), akimakabidhi Bendera ya Taifa, mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo wa Chess, Hemed Mlawa (wa pili kushoto), Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya kuondoka kesho kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa nchini Norway. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Spicenet, Vinay Choundry ambaye ni muasisi wa mchezo huo hapa nchini, kushoto ni mchezaji Emmanuel Mwaisumbe. Safari hiyo imedhaminiwa na Tanzania Chess...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota watano watemwa Taifa Stars

Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Hemmed Morocco ametangaza kikosi cha wachezaji 24 watakaocheza na Malawi huku akiwaengua wachezaji watano waliokuwapo kwenye kikosi kilichoivaa Nigeria mwezi uliopita.

 

11 years ago

GPL

TIMU 2O BORA ZA TAIFA DUNIANI

1. Germany (+1) 2. Argentina (+3) 3. Netherlands (+12) 4. Colombia (+4) 5. Belgium (+6) 6. Uruguay (+1) 7. Brazil (-4) 8. Spain (-7) 9. Switzerland (-3) 10. France (+7) 11. Portugal (-7) 12. Chile (+2) 13. Greece (-1) 14. Italy (-5) 15. USA (-2) 16. Costa Rica (+12) 17. Croatia (+1) 18. Mexico (+2) 19. Bosnia and Hercegovina (+2) 20. England (-10) ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Basi la timu ya taifa TZ lakamatwa

Basi la timu ya taifa ya soka TZ, limekamatwa kutokana na deni la shilingi milioni 140.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikapu wataja timu ya Taifa

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) limewaita wachezaji 18 kuunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Kikapu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

18 wateuliwa timu ya taifa kikapu

SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu (TBF) limeteua makocha wa timu ya taifa itakayoshiriki michuano ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, mapema mwakani. Makocha walioteuliwa ni Evarist Mapunda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani