Timu ya Taifa Stars mpaka sasa inaongoza 3-0 dhidi ya timu ya Benin.

"Uzalendo kwanza" Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangilia
Mshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa.
Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars,Amri Kiemba akiipatia timu yake bao la pili katika Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA

TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...
10 years ago
Vijimambo
TIMU YA TANZANIA "TAIFA STARS" YAENDELEA KUJIFUA


Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya ...
10 years ago
Vijimambo
KOCHA MKWASA AITA 26 TIMU YA TAIFA STARS

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 104
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.
Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...
10 years ago
BBCSwahili12 Oct
Taifa Stars kukutana na timu bora Afrika
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Kampuni ya ndege ya Fastjet kuisafirisha Timu ya Taifa Stars kwenda Algeria
Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu timu ya taifa Taifa Stars kwenda nchini, Algeria kwa mchezo utakaofanyika Novemba 17 mwaka huu.
Katibu wa Kamati ya Timu ya Taifa Stars, Teddy Mapunda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu timu hiyo kwenda nchini Algeria kushiriki mchezo wa marudiano utakaofanyika Novemba 17 ...
10 years ago
Vijimambo31 Jan
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar.…

Mshambuliaji wa Simba, Emanuel Okwi akishangilia katika moja ya mechi ya Ligi Kuu Bara.
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.
11 years ago
Michuzi
MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
