Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA

 Pichani Balozi Grace MUJUMA  na maafisa wa Ubalozi Mr Jeswald Majuva na Mr Mogosi Munata wakizungumza na viongozi wa timu ya Twiga Stars Bw Ahmed Mgoyi kiongozi wa Msafara na Bw Boniface Wambura walipofika kwenye Ofisi Za Ubalozi wa TANZANIA Lusaka Zambia kabla ya pambano la mpira litakalofanyika Leo Ijumaa tarehe 14.2.2014 kwenye Uwanja wa Nkoloma uliopo jijini Lusaka.mpambano huo unategemewa kuwa mkali kwani pande zote zimeonyesha nia ya kuibuka na ushindi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MECHI YA TWIGA STARS NA ZAMBIA KURUSHWA ‘LIVE’ ZNBC

Kikosi cha Twiga Stars kinashuka Uwanja wa Nkoloma, Lusaka nchini Zambia leo kuwavaa wenyeji Zambia (Shepolopolo) katika mechi ya mchujo ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) itakayooneshwa moja moja ‘live’ na televisheni ya Shirika la Taifa la Utangazaji la Zambia (ZNBC).
Mechi hiyo itaanza saa 9 kamili mchana kwa saa za Zambia ambapo Tanzania itakuwa saa 10 kamili jioni huku Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage akiwa tayari ametangaza ‘silaha’ zake kwa mechi hiyo ya kwanza ya...

 

9 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)

 Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi  jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), kushoto aliyevaa suti ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo.  Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) jana jioni  tayari kwa kuanza safari ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)

unnamed (78)Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni  tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).

unnamed (77) Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi  jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...

 

10 years ago

Dewji Blog

Timu ya Ikulu mpira wa miguu yatinga hatua ya pili SHIMIWI

01

Wachezaji wa timu ya Ikulu wakiwa pamoja kuomba dua kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya timu ya RAS Simiyu katika mashindano ya SHIMIWI leo uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Timu ya mpira wa miguu ya Ikulu imedhihirisha ubora wake katika mashindano ya  Shirikisho la Michezo ya watumishi inayoshirikisha Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa kumaliza mechi nne katika kundi B bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa.

Ubora huo unaifanya timu ya Ikulu kuwa ni timu...

 

10 years ago

Michuzi

TTB na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeshirikiana na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) ya nchini Uingereza katika uzinduzi wa utangazaji utalii wa Tanzania pamoja na kuhamasisha uwekezaji kwenye sekta ya michezo (Destination Partner in Tourism and Sports Development). Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 29 Novemba, 2014 kwenye kiwanja kinachomilikiwa na timu ya Sunderland “Stadium of Light”
Kwenye tukio hilo ambalo lilihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Balozi Peter...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKABIDHI TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELGIJI JEZI ZA MPIRA WA MIGUU

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania Ubelgiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

 

9 years ago

Michuzi

GEPF YAIPIGA JEKI TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA STAKISHARI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu  (GEPF) Aloyce Ntukamazina akikabidhi msaada wa vifaa vya michezo kwa  Mwenyekiti wa timu ya Stakishari Nick Myava, jijijni Dar es Salaam Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu  (GEPF) Aloyce Ntukamazina akimkabidhi Mipira  Captin wa timu ya Stakishari Ally Myambo leo jijijni Dar es Salaam Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu  (GEPF) Aloyce Ntukamazina akimkabidhi  fedha kwa ajili ya kusaidia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani