Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), kushoto aliyevaa suti ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza safari ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).
Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...
9 years ago
Bongo519 Nov
Claude LeRoy ajiuzulu kuifundisha timu ya taifa ya Congo Brazaville
Aliyekua mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, Kocha mfaransa Claude LeRoy amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.
LeRoy mwenye umri wa 67 aliuambia uongozi wa soka wa kocha wa Congo uamuzi huo muda mfupi baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia kwa kuifunga Ethiopia kwa mabao 2-1.
Kuna tetesi huenda kocha huyu akarudi kuifundisha timu ya taifa ya Cameroon, ambayo imemtimua kocha wake Volker Finke.
LeRoy,ana historia ya kuwa...
9 years ago
Michuzi02 Sep
TWIGA STARS KUELEKEA CONGO-BRAZZAVILE LEO
9 years ago
MichuziTimu ya Taifa ya wanawake ya Mchezo wa Mpira wa Magongo yakabidhiwa bendera kabla ya kuelekea Afrika ya kusini baada ya
11 years ago
MichuziMAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
10 years ago
Michuzi22 Jan
KAGERA WATUPWA NJE YA MASHINDANO YA WANAWAKE TAIFA CUP KWA MATUTA 4-3 NA TIMU YA MWANZA
Na Faustine Ruta, MwanzaTimu ya Wanawake kutoka Mkoa wa Kagera imetupwa nje ya Mashindano kwa Matuta baada ya kumaliza mtanange wao kwa sare ya Nyumbani ya Ushindi wa 2-1 na Ugenini,CCM Kirumba Mwanza na Matuta kupigwa na Timu ya Mwanza kuibuka na Ushindi wa bao 4-3.
Mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Timu ya Mwanza ndio walianza kupata bao mapema dakika ya 2 kupitia kwa mchezaji wao matata Meriam Kimbuya (10) kwa kukatiza katikati ya mabeki na kufunga bao hilo la kwanza....
10 years ago
MichuziTIMU YA TAIFA YA MCHEZO WA POOL YAENDELEA KUJIJUA TAYARI KWA MASHINDANO YA AFRIKA
Timu ya Safari Pool ilianza mchakato wa kujipima ikiwa ni sehemu ya maandalizi natimu ya Kombania ya Mkoa wa kimichezo wa Ilala ambapo waliibuka na ushindi wa 12-9 katika mchezo uliochezwa Ijumaa octoba 10,2014 kwenye Ukumbi...
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Taifa Stars kukutana na timu bora Afrika