TWIGA STARS KUELEKEA CONGO-BRAZZAVILE LEO
Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuondoka nchini leo usiku kuelekea nchini Congo-Brazzavile kwenye michuano ya Michezo ya Afrika (All Africa Games) inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 3, mwaka huu.Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa TFF, Twiga Stars haikuondoka leo kuelekea nchini Congo – Brazzavile, Shirikisho bado linasubiri mwongozo wa Wizara ya Habari,Viajana, Utamaduni na Michezo.Imani ya TFF ni kuwa timu itasafiri na kuwahi mechi ili kuepuka hatari ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u8m0F01QrxE/Vek3QhaHF4I/AAAAAAAH2RU/G-nx9VtGdNk/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
![](http://1.bp.blogspot.com/-u8m0F01QrxE/Vek3QhaHF4I/AAAAAAAH2RU/G-nx9VtGdNk/s640/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-goCfa6KsvIs/Vek3Qilfi5I/AAAAAAAH2RM/SAuGOh-elQ0/s640/unnamed%2B%252878%2529.jpg)
9 years ago
Habarileo03 Sep
Twiga Stars yaenda Congo
HATIMAYE timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Twiga Stars, inatarajia kuondoka leo jioni kwa ndege maalum kwenda Congo Brazzaville kwenye Michezo ya Afrika ( All African Games).
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Twiga Stars kuelekea Zambia kesho
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).
Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Twiga Stars kuingia kambini leo
9 years ago
Habarileo09 Sep
Twiga Stars karata muhimu leo
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars leo ina kibarua kigumu katika mechi dhidi ya Nigeria kwenye Michezo ya Afrika inayoendelea nchini Congo Brazzaville.
9 years ago
VijimamboTwiga Stars uwanjani Kongo Brazzaville leo
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu kutoka Kongo Brazzaville, Mkuu wa Msafara wa timu hiyo, Blassy Kiondo, alisema kuwa wachezaji walifanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo jana asubuhi na wote wanaendelea vizuri.
Kiondo alisema kuwa mchezo huo unatarajiwa kufanyika kuanzia saa 11 jioni...
10 years ago
Habarileo06 Aug
Twiga Stars kuingia kambini Zanzibar leo
TIMU ya Taifa Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar kujiandaa na Michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika mwezi ujao nchini Congo Brazzaville.
11 years ago
Michuzi14 Feb
TWIGA STARS YALALA 2-1 KWA ZAMBIA LEO JIJINI LUSAKA
Hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika katika mechi hiyo iliyochezeshwa na mwamuzi Salma Mukansanga timu hizo zilikuwa suluhu.
Wenyeji ndiyo walianza kupata bao lililofungwa na Hellen Mubanga dakika ya 75. Mfungaji huyo aliyeingia kipindi cha pili nchini alimalizia wavuni...